Sakata la Upendeleo wa Ajira za Sensa, BAVICHA yaweka Msimamo

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,648
218,101
Akizungumza na Waandishi wa Habari kwenye Makao Makuu ya Chadema, Nje ya Jiji la Dar es Salaam, Huko Kinondoni Mtaa wa Ufipa, Mwenyekiti wa Bavicha John Pambalu, Amesema kwamba Upendeleo wa Ajira za Makalani wa Sensa uliovujishwa na Wazalendo wa Mbeya upo Nchi nzima, kiasi cha kulitia Aibu Taifa.

Ameitaka serikali kujitokeza hadharani na kuomba radhi na kurekebisha Aibu hiyo haraka, Vinginevyo kampeni kabambe ya kuhakikisha haki inatendeka itaanza Rasmi

Mytake: Hili suala linaweza kuvuruga mpango wote mzuri wa Sensa.
 
Kama semina zipo, kwanini wasingemaliza kila kitu hukohuko?
 
Chadema walitaka kuharibu zoezi la sensa tumewatoa wote dadeki wakae huko twitter tu eti Kinondoni nje ya jiji wewe kayumba sana

USSR
Hiyo ni kwa mujibu wa Magufuli na wapambe wake , Jiji la Dar ni Ilala tu
 
Akizungumza na Waandishi wa Habari kwenye Makao Makuu ya Chadema, Nje ya Jiji la Dar es Salaam, Huko Kinondoni Mtaa wa Ufipa, Mwenyekiti wa Bavicha John Pambalu, Amesema kwamba Upendeleo wa Ajira za Makalani wa Sensa uliovujishwa na Wazalendo wa Mbeya upo Nchi nzima, kiasi cha kulitia Aibu Taifa.

Ameitaka serikali kujitokeza hadharani na kuomba radhi na kurekebisha Aibu hiyo haraka, Vinginevyo kampeni kabambe ya kuhakikisha haki inatendeka itaanza Rasmi

Mytake: Hili suala linaweza kuvuruga mpango wote mzuri wa Sensa.
Narudia watumishi waliyoomba wapigwe chini.Wapewe wasiyoajiriwa.Mtumishi kulipwa mshahara wa mwezi na kupata sensa ni matumizi mabaya ya hela na kutegea majukumu.
 
Hili linaungwa mkono asilimia mia moja, waacheni vijana waliomaliza vyuo wafanye hii kazi ili wapate hata pesa ya kutuma barua za maombi ya kazi na nauli za safari za kushiriki kwenye interview mbalimbali! Hivi hawa wakurugenzi wa halmashauri mmesoma wapi?
 
Hii haihitaji hata kufikiri mara mbili.
 
Back
Top Bottom