johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,616
- 141,445
Ikumbukwe ni 20% tu ya wananchi ndio waliutaka mfumo wa vyama vingi huku 80% wakitaka CCM iongoze milele.
Hakuna utafiti wowote umefanyika kuonyesha mafanikio ya mfumo huu ndio maana 2020 wananchi kwa kauli moja waliamua kuichagua CCM kwa 98%
Kimaandishi Tanzania tumo kwenye mfumo wa vyama vingi vya siasa lakini kiuhalisia tunaishi kwenye mfumo wa chama kimoja.
Je, tutaendelea kujidanganya hadi lini kwamba Mbowe, Zitto na Prof Lipumba ni wapinzani huku macho yao tu yanadhihirisha uCCM wao?
Ifike mahali tuuishi uhalisia, tumechelewa sana ndugu zangu!
Kidumu Chama Cha Mapinduzi!