Mkutano wa ndani wa Chama cha Mapinduzi

Shabani Ajaha

Member
Aug 18, 2021
78
60
UVCCM_ TAIFA
JULAI 27, 2022
SUMBAWANGA

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu. ABDULRAHMAN KINANA akizungumza na Viongozi na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi Katika Mkutano wa ndani Mjini Sumbawanga akiwa katika ziara ya kuimarisha Uhai wa Chama na Ukaguzi wa Ilani ya CCM 2020-2025.

#AlipoMamaVijanaTupo
#2022ShirikiUchaguziKwaUadilifu
#2022JiandaeKuhesabiwa
#KaziIendelee
IMG-20220727-WA0092.jpg
IMG-20220727-WA0118.jpg
 
Wamroge huko,kama hatakemea ujinga wa kupeana fursa kwa kuzingatia uchama.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom