Kelele za mchakato wa Katiba mpya kuanza na spidi ya ufisadi ikitamalaki kabla ya upatikanaji wake!

NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

JF-Expert Member
Oct 29, 2019
8,526
17,431
Watanzania!

Poleni KWA tozo,ugumu wa maisha na kizungumkuti cha kodi ya kichwa ijayo!
Mungu atupe uvumilivu katika mateso tunayopewa na Watoto tuliowazaa sisi wenyewe!

Wakati kelele za mchakato wa Katiba mpya zikipigwa hadi kikosi kazi feki kikaitishwa Ili ku spin mchakato usianze mapema na kwa wakati mwafaka!vijana WETU wanasiasa maridadi wameambizana Kuwa wakati wa kula na kuiba KWA Kasi ni sasa na si vinginevyo!

Ufisadi umeshuka kama mvua ya mawe kuanzia kwenye halmashauri hadi kwenye mikataba mikubwa ya ardhi na maliasili zetu!

Ni kana kwamba wanaendana na Kasi ya upatikanaji wa katiba mpya isije kuwazuia kuiba Mali zetu.

Swali la kujiuliza ni kwamba Hadi katiba mpya itakapopatikana kutakuwa na mali asili zilizobaki!!?

Ni chombo gani ambacho kipo hai kuzuia janga hili Hadi Sasa!!?

Je ni Bunge?mahakama!?au Raisi mwenyewe!!?

Ni giza TUPU limetanda hakuna nuru tena tutapona kweli!!?

Mungu aingilie Kati!tumaini pekee ni Dola ndio itatutoa kwenye giza hili!

Mgogoro wa hifadhi ya ngoro ngoro ni mfano wa mengi yanayoendelea nyuma ya pazia!

Leo ni wamasai kufurushwa ,kesho wanyakyusa keshokutwa wakazi wa mwanza wa milimani mtondo goo hatujui ni zamu ya nani!!

Wenye mamlaka toeni macho Sana kabla katiba haijapatikana kuna mchwa unaotafuna rasilimali zetu!

Asante jf
 
Wenye mamlaka toeni macho Sana kabla katiba haijapatikana kuna mchwa unaotafuna rasilimali zetu!
Kama umeona ufisadi mahalina ukaunyamazia ,kosa ni la kwako.
Kama unataarifa ,mbona huzibainishi ili tukazisigeza kwa wahusika,
miminadhanui wewe ni Mvumishaji wa mambo usiyoyaona wala kuyajua, pengine umesikia sikia tuu ,huna ushahidi wowote.
Kaa kimya au ingia kazini kutafuta ushahidi ili uisaidie Tanzania isididimie
 
Tuanze na Ngoro Ngoro kwanza ambao upo wazi KABISA!!
 
Tuanze na Ngoro Ngoro kwanza ambao upo wazi KABISA!!
Unajua nini kuhusu mgogoro huu.?
Si wamaai walishalipwa fidia na kuombwa kuhama ili kupisha serikali iweke mipaka na uzio mubuga za wanyama kule. kwa maslahi mana ya Taifa?
Tatizo liko wapi? wakati taratibu zzilifuatwa lakini wakorofi wachche wakaleta za kuleta.
 
M

Mkaamua kuwachapa risasi wakatibiwe kenya Sio!!?
 
Back
Top Bottom