tamsana
JF-Expert Member
- Jan 13, 2012
- 3,235
- 7,099
Kazi iendelee!
Nimepitia mkeka mpya wa walioteuliwa kuwa Makatibu Tawala, cha kushangaza nimekutana na jina la Prof. Kahyarara, aliyekuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara. Zaidi sana utaona ndiye Katibu Mkuu pekee aliyetolewa kwenye hiyo nafasi na kuwa RAS.
Sijui nini kimempata huyu Prof hadi kuonekana hatoshi kwenye nafasi ya kuwa Katibu Mkuu.
Tumtakie kila la heri katika nafasi yake mpya ya Katibu Tawala Mkoa wa Geita.