Lusinde: Miradi yote lazima tugawane majimbo ya CCM kwanza chini ya waziri mkuu, ya upinzani hatupeleki maendeleo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lusinde: Miradi yote lazima tugawane majimbo ya CCM kwanza chini ya waziri mkuu, ya upinzani hatupeleki maendeleo

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Return Of Undertaker, Feb 7, 2018.

 1. Return Of Undertaker

  Return Of Undertaker JF-Expert Member

  #1
  Feb 7, 2018
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 2,924
  Likes Received: 11,602
  Trophy Points: 280
  Mtulia wakati akiwa upinzani alikosa ushirikiano na Rais na Waziri Mkuu ambao ni chama tawala chenye ilani inayotekelezwa ndio maana matatizo yenu yalikuwa hayatatuliwi.

  Pale bungeni kuna vikao vya vyama ambapo kwenye kikao cha wabunge waCCM ndipo tunagawana miradi kwenye majimbo yetu chini ya uongozi wa waziri mkuu, baada ya hapo tunarudi bungeni kupitisha:

  Livingstone Lusinde Kampeni za Ubunge Kinondoni Leo
   
 2. Chuck j

  Chuck j JF-Expert Member

  #2
  Feb 7, 2018
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 2,200
  Likes Received: 532
  Trophy Points: 280
  Duuiih,,kama ndio hivyo kunahaja gani ya upinzani na vyama Vya upinzani Tanzania?
   
 3. kirumbuyo

  kirumbuyo JF-Expert Member

  #3
  Feb 7, 2018
  Joined: Jan 1, 2014
  Messages: 460
  Likes Received: 532
  Trophy Points: 180
  Amen
   
 4. Uta Uta

  Uta Uta JF-Expert Member

  #4
  Feb 7, 2018
  Joined: Feb 2, 2016
  Messages: 2,081
  Likes Received: 5,591
  Trophy Points: 280
  Hamia Ccm tu
   
 5. G

  Gulwa JF-Expert Member

  #5
  Feb 7, 2018
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 3,155
  Likes Received: 2,437
  Trophy Points: 280
  ccm ni janga, huyu kibajaji hafai hata kuwa katibukata IQ yake ndogo sana ila sishangai kwani tatizo linaanzia ngazi ya juu
   
 6. chuma cha mjerumani

  chuma cha mjerumani JF-Expert Member

  #6
  Feb 7, 2018
  Joined: Dec 4, 2013
  Messages: 5,884
  Likes Received: 9,072
  Trophy Points: 280
  Tanzania ni yetu sote
   
 7. j

  jabulani JF-Expert Member

  #7
  Feb 7, 2018
  Joined: Aug 1, 2015
  Messages: 3,144
  Likes Received: 4,096
  Trophy Points: 280
  CCM wanaipeleka nchi pabaya. Serikali ni ya wananchi wote sio ya wana ccm tu.
   
 8. josephat manyenye

  josephat manyenye JF-Expert Member

  #8
  Feb 7, 2018
  Joined: Dec 3, 2017
  Messages: 544
  Likes Received: 675
  Trophy Points: 180
  Aache uongo, Dar majimbo mengi yako upinzani na kunamiradi mingi mikubwa ya serikali inatekelezwa tofauti na huko mtela kwa huyo
   
 9. M

  Mtoto wa kijiji JF-Expert Member

  #9
  Feb 7, 2018
  Joined: Nov 4, 2017
  Messages: 273
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 60
  Nimeacha kuwasikiliza watu wa aina hii long ago...
   
 10. Tua Ngoma

  Tua Ngoma JF-Expert Member

  #10
  Feb 7, 2018
  Joined: Apr 14, 2015
  Messages: 1,655
  Likes Received: 2,573
  Trophy Points: 280
  Kinachoniuma zaidi ni chama kikuu cha upinzani kukosa meno...Mbowe kuwa serious la si hivyo nchi hii itaangamia.
   
 11. LESIRIAMU

  LESIRIAMU JF-Expert Member

  #11
  Feb 7, 2018
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 4,257
  Likes Received: 2,683
  Trophy Points: 280
  Halafu huko mtera wana kunywa maji ya madimbwi. Hivi Watanzania bado ni wajinga kiasi hiki hadi wamsikilize class seven zero??
   
 12. K

  Kidzude JF-Expert Member

  #12
  Feb 7, 2018
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 3,536
  Likes Received: 667
  Trophy Points: 280
  Ule mradi Wa dar t 3 upo Mbagala hivyo utahamishiwa mtela
   
 13. P

  Paima Member

  #13
  Feb 7, 2018
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 71
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 15
  hapo ndiyo panaopo nikera kwa siasa Za Tanzania, kwani wananchi wote wanakuwa wamepigia upinzani? hawafikirii Kuwa wanawanyima Haki Wengi zaidi ccm waliopiga kura ambazo hazikutosha n.a. za wale ambao hawakupiga kura kwa sababu moja au nyingine?
   
 14. Bila bila

  Bila bila JF-Expert Member

  #14
  Feb 7, 2018
  Joined: Dec 20, 2016
  Messages: 3,857
  Likes Received: 5,186
  Trophy Points: 280
  Sasa mwongo ni mleta mada au Bajaji?
   
 15. N

  NnyaMbwate JF-Expert Member

  #15
  Feb 7, 2018
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,510
  Likes Received: 669
  Trophy Points: 280
  Na kukurukakara wapo tu wanasikiliza huu ushuzi wa kina kituktuk cha matairi matatu! Haya bana!
   
 16. Jp Omuga

  Jp Omuga JF-Expert Member

  #16
  Feb 7, 2018
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 2,767
  Likes Received: 931
  Trophy Points: 280

  Uzuri wa Lusinde Kibajaji anaongea ukweli wa wanachokifanya huko #ccm..
  Wengine watakuja wapake pake rangi lakini huyu atawamwagia ukweli wa mambo..
  #wakeuptanzania
  #wakeupcall
   
 17. c

  crocodile JF-Expert Member

  #17
  Feb 7, 2018
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,560
  Likes Received: 992
  Trophy Points: 280
  Wewe vipi?? Mbona umesikiliza na kujibu juu!
   
 18. kilwakivinje

  kilwakivinje JF-Expert Member

  #18
  Feb 7, 2018
  Joined: Jan 4, 2014
  Messages: 1,236
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Jimbo lake katatua nini huyo kibajaji
   
 19. kilwakivinje

  kilwakivinje JF-Expert Member

  #19
  Feb 7, 2018
  Joined: Jan 4, 2014
  Messages: 1,236
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Nadhan ni mida muafaka apishe hiyo nafasi
   
 20. Tua Ngoma

  Tua Ngoma JF-Expert Member

  #20
  Feb 7, 2018
  Joined: Apr 14, 2015
  Messages: 1,655
  Likes Received: 2,573
  Trophy Points: 280
  Tukianza kuongea tutaonekana wanafki,lakini ukweli Mbowe ameishiwa mbinu au ni 'mtu wa system' MBOWE NI ROLE MODEL WANGU KWENYE SIASA NA SIJAWAHI KUMPINGA......ILA KWA HALI INAYOENDELEA NCHINI...MBOWE INATOSHA.
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...