Kina Halima Mdee na wenzake waangukia mikononi mwa mawakili wa CHADEMA

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,302
5,441
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imetoa ruhusa ya Nusrati Hanje, Halima Mdee, Esther Matiko, Ester Bulaya, Jesca Kishoa na wenzao wawili kufika mahakamani na kuhojiwa na mawakili wa upande wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

Mawakili wa upande wa CHADEMA wakiongozwa na Wakili Peter Kibatala, wakizungumza na vyombo vya habari amesema kuwa wamewataka Halima Mdee na wenzake kufika mahakami Agosti 26 wakati kesi hiyo itakapokuja kwa ajili ya maombi ya msingi kusikilizwa, kwa mara ya kwanza ili wahojiwe kuhusu mchakato wa ubunge wao.

Haya ni maombi namba 36 ya mwaka 2022, yaliyofunguliwa na Halima Mdee na wenzake 18, dhidi ya Chadema Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Tume ya Taifa ya uchaguzi, yatasikilizwa mbele ya Jaji Cypiria Mkeha.

Kesi hiyo kurejea maamuzi ya CHADEMA kuwavua unachama wao Halima Mdee na wenzake imeahirishwa hadi Agosti 26, itakapokuja mahakamani hapo kwa ajili ya kusikilizwa baada ya nyaraka za msingi kuwasilishwa mahakamani hapo.
 
Paka kama Paka.
 
huwa najiuliza swali, kama viongozi wangu chadema hawautambui uchaguzi kwa nini wanangaika na kina mdee.. hali tayari wameshawavua ubunge..
halafu kama chadema hawautambui uchanguzi kwa nini mwenyekiti huwa anaenda ikulu hali ikulu anayekaa humo ni mtu aliyechaguliwa kwa uchaguzi na akaapishwa..
mambo mengine ukiyafikilia sana unaweza washangaa tu watu..
NASHAURI, CHADEMA WAKAE KIMYA KWENYE HILI SWALA LITAWAAIBISHA SANA.. KAMA WAMESHAUKATAA UCHAGUZI NA KIKAO KIMEWAKATAA KIHALALI NA WAMESHAWASILISHA MAJINA KWA KATIBU WA BUNGE KUWAVUA UANACHAMA HAPO KAZI YA CHAMA IMEISHA WAACHE BUNGE NA SELIKARI IPINGE NGOMA NA KUCHEZA YENYEWE
 
Huwezi kuwa Mbunge bila Chama. CHADEMA haitaki wao watumie jina la chama chao ila hali chama hakijawateua. Hivyo hawataki watambulike kama ni Wabunge wa CHADEMA. Ila waki itwa wa ACT hata leo CHADEMA ita achana nao.
 
Hivi kwa nini serikali inalipa pesa watu ambao hawana Sifa? Kwa nini serikali isiwalipe mshahara wa ubunge Halima na wenzake 18 ili kusubr washinde kesi Yao ndipo walipwe. We waste money to pay people who don't deserve, It's very wonderful
 
Huwezi kuwa Mbunge bila Chama. CHADEMA haitaki wao watumie jina la chama chao ila hali chama hakijawateua. Hivyo hawataki watambulike kama ni Wabunge wa CHADEMA. Ila waki itwa wa ACT hata leo CHADEMA ita achana nao.
NI SAWA HAWATAKI COV19 WATUMIE NEMBO YETU PEDWA YA CHADEMA, ILA MCHAKATO WA KUWAVUA WABUNGE SI UMESHAKWISHA TAYARI? KAMA JIBU NI TAYARI KWA NINI WANAENDELEA KUWAFATILIA HALI TAARIFA ZA KUWAVUA ZIMESHAFIKA KWA KATIBU WA BUNGE... KWA NINAVYOONA HII ISHU ITAWACHAFUA CHADEMA
 
huwa najiuliza swali, kama viongozi wangu chadema hawautambui uchaguzi kwa nini wanangaika na kina mdee.. hali tayari wameshawavua ubunge..
halafu kama chadema hawautambui uchanguzi kwa nini mwenyekiti huwa anaenda ikulu hali ikulu anayekaa humo ni mtu aliyechaguliwa kwa uchaguzi na akaapishwa..
mambo mengine ukiyafikilia sana unaweza washangaa tu watu..
NASHAURI, CHADEMA WAKAE KIMYA KWENYE HILI SWALA LITAWAAIBISHA SANA.. KAMA WAMESHAUKATAA UCHAGUZI NA KIKAO KIMEWAKATAA KIHALALI NA WAMESHAWASILISHA MAJINA KWA KATIBU WA BUNGE KUWAVUA UANACHAMA HAPO KAZI YA CHAMA IMEISHA WAACHE BUNGE NA SELIKARI IPINGE NGOMA NA KUCHEZA YENYEWE

akina halima ndio wameshtaki Chadema wameshamalizana nao kwa kuwafuta uanachama.
Chadema wanaenda mahakamani kujitetea
 
Huwezi kuwa Mbunge bila Chama. CHADEMA haitaki wao watumie jina la chama chao ila hali chama hakijawateua. Hivyo hawataki watambulike kama ni Wabunge wa CHADEMA. Ila waki itwa wa ACT hata leo CHADEMA ita achana nao.
Kwahiyo wanatambua uwepo wa Bunge siyo
 
NI SAWA HAWATAKI COV19 WATUMIE NEMBO YETU PEDWA YA CHADEMA, ILA MCHAKATO WA KUWAVUA WABUNGE SI UMESHAKWISHA TAYARI? KAMA JIBU NI TAYARI KWA NINI WANAENDELEA KUWAFATILIA HALI TAARIFA ZA KUWAVUA ZIMESHAFIKA KWA KATIBU WA BUNGE... KWA NINAVYOONA HII ISHU ITAWACHAFUA CHADEMA
Lakini una jua taratibu kweli? Nani alie fungua kesi mahakamani? Uki vuliwa uanachama huna ubunge. Hivyo Covid-19 wana pigania pesa. CHADEMA kupitia maridhiano wakiona ina faa ita teua wawawikishi waonwa jinsia ya kike. Siyo public toilet kila mtu ata aingia atakavyo.
 
Hivi hao akina Mdee wakishindwa kesi wanarudisha mishahara? Kwa hizi danadana hii kesi inatafika 2024. Na ikiwa mishahara hirudi itakuwa ni kazi bure.

Anarudisha mshahara ambao ameufanyia kazi? Vipi wewe! Wafanyakazi wenye vyeti feki uliona wamerudisha mishahara? Si umeona wanelipwa hadi kiinua mgongo!
 
Kwa kifupi mpaka hapo akina Halima have nothing to lose bali wanawapotezea muda wateule wa vigogo
 
NI SAWA HAWATAKI COV19 WATUMIE NEMBO YETU PEDWA YA CHADEMA, ILA MCHAKATO WA KUWAVUA WABUNGE SI UMESHAKWISHA TAYARI? KAMA JIBU NI TAYARI KWA NINI WANAENDELEA KUWAFATILIA HALI TAARIFA ZA KUWAVUA ZIMESHAFIKA KWA KATIBU WA BUNGE... KWA NINAVYOONA HII ISHU ITAWACHAFUA CHADEMA
Kwani wameacha kutumia jina la chadema??
 
huwa najiuliza swali, kama viongozi wangu chadema hawautambui uchaguzi kwa nini wanangaika na kina mdee.. hali tayari wameshawavua ubunge..
halafu kama chadema hawautambui uchanguzi kwa nini mwenyekiti huwa anaenda ikulu hali ikulu anayekaa humo ni mtu aliyechaguliwa kwa uchaguzi na akaapishwa..
mambo mengine ukiyafikilia sana unaweza washangaa tu watu..
NASHAURI, CHADEMA WAKAE KIMYA KWENYE HILI SWALA LITAWAAIBISHA SANA.. KAMA WAMESHAUKATAA UCHAGUZI NA KIKAO KIMEWAKATAA KIHALALI NA WAMESHAWASILISHA MAJINA KWA KATIBU WA BUNGE KUWAVUA UANACHAMA HAPO KAZI YA CHAMA IMEISHA WAACHE BUNGE NA SELIKARI IPINGE NGOMA NA KUCHEZA YENYEWE
Akili ndogo
 
Back
Top Bottom