Wafuasi wa Magufuli mbona kimya tena

Tumezoea kuona wafuasi wa kiongozi wa malaika wakipolomosha matusi kwa yeyote yule ambaye hakukubaliana nao katika legacy ya JPM ya utawala wa kibabe na siasa za majitaka lakini sasa naona wafuasi hao wanazidi kupotea taratibu
Wameanza kuzoea hali hii. Walijua yule fara hatokufa kama alivyojiapiza.

Watu walimtabiria kifo mapema TU alipoanza kupora Mali za Wana mbeya na kuzipeleka chato
Screenshot_20220603-064957.jpg
 
Back
Top Bottom