Mama nakusalimu kwa jina la JMT,
Mimi ni muumini sana "Satstification & appreciation"
Nafahamu kwa kutumia vyombo vyako unafahamu taarifa zote za uchapakazi na Uhodari wa DED wetu, DC na DAS...
Najaribu kuwaza ustawi wa Taifa letu huko twendako bila kupata jibu.Idadi ya vijina wanaomaliza vyuo vikuu na vya Kati inazidi kuongezeka huku ajira zikiwa hazipo.Lakini pia kunawanaomaliza shule...
Labda mkuu Erythrocyte utusaidie maana nyie Chadema hapo Kyela ndio mlimpiga vita sana Dr.Mwakyembe
Sasa mnachagua mbunge anajiita." Lialia"?
2020 Kyela mlichemka kama sisi wa Miyomboni Iringa
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) amewasili Maputo Nchini Msumbiji kwa ziara ya kikazi ya siku nne (4), ambapo amepokelewa na kufanya mazungumzo na...
Dunia yote macho hayapo China na Taiwan wala Ukraine na Russian. Macho yapo gaza ambapo Kikosi maalumu kilichopikwa kikapikika kina tekeleza kazi maalumu ambayo magaidi wakikundi cha kijihadi...
FEDHA YA DHARURA ITENGWE HARAKA KUOKOA ELIMU NCHINI🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
✍️Mwl. Modest Alphonce
(Mwandishi wa Makala hii ni mwalimu wa Sekondari, mwalimu wa Taaluma Mwandamizi na Mjumbe wa Kamati ya Shule...
Huu ndio Ukweli Mchungu. Japo Mimi ni Mfuasi Wa Chama Kingine Kikubwa tu.
Kwa Mwenendo Unapoelekea Chama Tawala ni Dhahiri ACT itashinda Kwa Kishindo Majimbo 2025.
Muda ndio utasema. Kama Sio...
IKUNGI TUNASEMA ASANTE WAZIRI MKUU MHE. KASIM MAJALIWA MAJALIWA.
Mkuu wa wilaya ya Ikungi Mhe. Jerry C. Muro amemshukuru waziri mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kasim Majaliwa...
Ndugu zangu Kama tunavyofahamu kwamba ndugu zetu majirani zetu wapo Katika mchakato wa kupata kiongozi/ viongozi wao wa nchi.Tuwaombee ili wanapoelekea Katika mchakato huu mungu akawatangulia...
Kuna hii trend ambayo idara ya ardhi imeivalia njuga/imeishupalia ya kugeuza mashamba ya wakulima wadogo kuwa miji na hivyo kudai kupimwa viwanja.
Wanasahau (na wakulima wanakubali) kuwa haya...
Huhitaji kusoma biblia wala kusoma msaafu kuelewa Usaliti wa Wanadamu,tunasoma kuelewa zaidi neno la Mungu lakini kwa Usaliti tayari tumeonyeshwa kwa vitendo,Viongozi wakuu wa na washauri wakuu...
Jana katika pita pita zangu, nikawakuta NEC kwenye maonesho ya nane nane, ikabidi nijisogeze bandani kudadisi kidogo, kufahamu masuala kadhaa;
1. Kwanini wapo katika maonesho ya wakulima?
2. Baada...
Vyama vya Siasa ni sehemu ya serikali japo watu wengi wanaukwepa ukweli huu
Itoshe tu kusema Wananchi ndio wenye wajibu wa kujitengenezea Katiba yao na siyo wanasiasa
Mungu wa mbinguni awabariki
Katika chapisho la kwanza nilieleza namna mapendekezo ya Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA yasivyoweza kutupatia Katiba mpya, bora na shirikishi kama alivyosema. Kwa ajili ya kumbukumbu...
Tanzania inayo Katiba halali hivyo haijitajiki Katiba mpya kana kwamba tunaasisi taifa lingine.
Wanachopigania Chadema ni Toleo Jipya la Katiba ya JMT yenye marekebisho makubwa.
Ukielewa maana...
Natoa tu Ushauri kwa Chama Pendwa Afrika Mashariki, Kati na Kusini Chama Cha Mapinduzi
Msikitelekeze Kitambulisho Cha Mjasiriamali kwani zaidi ya 80% ya Wapiga kura ni wajasiriamali
Nina...
Tanzania ina eneo linalofaa kwa kilimo Hekta milioni 44 na linalofaa kwa umwagiliaji Hekta milioni 29, mpaka sasa zaidi ya 60% ya watanzania wameajiriwa katika kilimo. Biashara ya kilimo katika...