Rais Samia karibu Mbeya karibu sana Mbarali uone uchapakazi uliotukuka wa Viongozi wetu wa Wilaya

TaiPei

Member
Aug 4, 2022
62
25
IMG-20220805-WA0097.jpg

Mama nakusalimu kwa jina la JMT,

Mimi ni muumini sana "Satstification & appreciation"

Nafahamu kwa kutumia vyombo vyako unafahamu taarifa zote za uchapakazi na Uhodari wa DED wetu, DC na DAS wetu, DSO wetu katika Wilaya hii,

Majuzi wakati unawaapisha wakuu wapya wa mikoa ulimmwagia sifa lukuki Dada yetu Mkurugenzi wa Malinyi Mhe Joanfaith John kwa uchapakazi wake uliotukuka ambao nchi nzima imekubaliana na wewe kuhusu binti yule kuwa ni mtu wakutiliwa mfano kwa Uchapakazi anaouonesha,

Mhe Rais wangu, hebu usipite Mbarali bila kuwapongeza na kuwatia moyo hawa viongozi wetu kwa mambo makubwa wanayofanya.

Wacha nitaje machache tu niliyoyaona:

1. Wanafanya kazi kwa Upendo na Ushirikiano wa kiwango cha juu Sana,

2. Wanafanya vizuri Sana katika ukusanyaji wa Mapato mkoa mzima wa Mbeya,

3. Mbarali,Ndio Wilaya pekee hapa Tanzania iliyosajili mifugo yake kielektroniki kwa kiwango kikubwa ili kutekeleza sera yako ya kuongeza uuzwaji wa nyama na mifugo nje ya nchi,

4. Kusimamia vizuri kilimo cha Mpunga na mazao mengine,

5. Kusimamia vizuri miradi ya Ujenzi ikiwemo hii VETA utakayoizindua leo,

6. Kusimamia swala la Elimu bure kwa watoto wetu wote,

#MBEYA TUNAKUPENDA SANA MHE RAIS NADHANI UMEJIONEA MWENYEWE MAPOKEZI YETU

IMG-20220805-WA0136.jpg<<<<<<<<<<<<<>>>>>>>>>>>>>>>

Pitia pia hii ziara ya Waziri wa Kilimo Mbarali Hussein Bashe,

IMG-20220805-WA0055.jpg

Hili ni Shamba la Mpunga Mbarali ( Skimu ya Umwagiliaji )

IMG-20220805-WA0061.jpg

Waziri Bashe akitua na helkopta ya Jeshi Mbarali kuhamasisha kilimo cha Umwagiliaji,

IMG-20220805-WA0053.jpg

Mkuu wa mkoa Mbeya akiwa na Mawaziri wa Kilimo katika uhamasishaji wa kilimo cha Umwagiliaji Mbarali

#Hongera Sana wanaMbarali,
 
Lusungo

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
24,194
30,636
View attachment 2315751

Mama nakusalimu kwa jina la JMT,

Mimi ni muumini sana "Satstification & appreciation"

Nafahamu kwa kutumia vyombo vyako unafahamu taarifa zote za uchapakazi na Uhodari wa DED wetu, DC na DAS wetu, DSO wetu katika Wilaya hii,

Majuzi wakati unawaapisha wakuu wapya wa mikoa ulimmwagia sifa lukuki Dada yetu Mkurugenzi wa Malinyi Mhe Joanfaith John kwa uchapakazi wake uliotukuka ambao nchi nzima imekubaliana na wewe kuhusu binti yule kuwa ni mtu wakutiliwa mfano kwa Uchapakazi anaouonesha,

Mhe Rais wangu, hebu usipite Mbarali bila kuwapongeza na kuwatia moyo hawa viongozi wetu kwa mambo makubwa wanayofanya,

Wacha nitaje machache tu niliyoyaona:-

1. Wanafanya kazi kwa Upendo na Ushirikiano wa kiwango cha juu Sana,

2. Wanafanya vizuri Sana katika ukusanyaji wa Mapato mkoa mzima wa Mbeya,

3. Mbarali,Ndio Wilaya pekee hapa Tanzania iliyosajili mifugo yake kielektroniki kwa kiwango kikubwa ili kutekeleza sera yako ya kuongeza uuzwaji wa nyama na mifugo nje ya nchi,

4. Kusimamia vizuri kilimo cha Mpunga na mazao mengine,

5. Kusimamia vizuri miradi ya Ujenzi ikiwemo hii VETA utakayoizindua leo,

6. Kusimamia swala la Elimu bure kwa watoto wetu wote,

#MBEYA TUNAKUPENDA SANA MHE RAIS NADHANI UMEJIONEA MWENYEWE MAPOKEZI YETU
View attachment 2315756
UVCCM ifike mahali msikie na muelewe mdundo wa ngoma anaoutaka mchagua wimbo.

Hizi porojo hazijamsaidia lolote Kafulia, jifunzeni kwake.
 
TaiPei

Member
Aug 4, 2022
62
25
UVCCM ifike mahali msikie na muelewe mdundo wa ngoma anaoutaka mchagua wimbo.

Hizi porojo hazijamsaidia lolote Kafulia, jifunzeni kwake.
Sasa CHADEMA tangu lini mkafurahia mambo ya UVCCM?

Kafulila aliwaumiza sana jinsi alivyomtetea rais

Kwa taarifa tuu Kafulila anakuwa Waziri tuone mtasemaje
 
Lusungo

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
24,194
30,636
SASA CHADEMA TANGU LINI MKAFURAHIA MAMBO YA UVCCM?
Yaani huko mnawaza vyeo tu. Mko hovyo sana kwahiyo akiwa waziri CHADEMA itawapunguzia nini?

Halafu mbona umedakia kwa CHADEMA ilihali nchi hii ina vyama zaidi ya 20?

Hapo kama nakuona na sare yako ukiikimbiza gari ya Samia ili jioni upewe elf 10 isiyotosha kukuvusha keshokutwa.

Mko hovyo zaidi ya minyoo.
 
peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
7,337
11,685

KAFULILA ALIWAUMIZA SANA JINSI ALIVYOMTETEA RAIS WETU,

KWATAARIFA TU KAFULILA ANAKUWA WAZIRI TUONE MTASEMAJE

TaiPei

Member
Aug 4, 2022
62
25
Yaani huko mnawaza vyeo tu. Mko hovyo sana kwahiyo akiwa waziri CHADEMA itawapunguzia nini?

Halafu mbona umedakia kwa CHADEMA ilihali nchi hii ina vyama zaidi ya 20?

Hapo kama nakuona na sare yako ukiikimbiza gari ya Samia ili jioni upewe elf 10 isiyotosha kukuvusha keshokutwa.

Mko hovyo zaidi ya minyoo.
CHADEMA mambo ya CCM yanakuumiza wapi?
 
peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
7,337
11,685

Angekuwepo Hayati Rais Magufuli Kamwe Asingekubali Haya Yatokee.​

1. Kamwe asingekubali Mita za LUKU kutumika kukata kodi za majengo. Hapa waathirika wengi ni wapangaji ambao wengi wao ni masikini na sio wamiliki wa hayo majengo/nyumba.

2. Kamwe asingekubali Tozo za miamala ya simu. Hili asingelikubali abadani asilani. Maana miamala tayari ilikuwa na VAT, sasa kuongeza tozo ni kama unamminya mwananchi mpaka aishiwe kabisa. Tena tozo zenyewe zinakatwa kwenye kutuma na kutoa😪.

3. Kamwe asingekubali Gharama za maisha kupanda kiholela. Ndio hatukatai kuna mfumuko wa bei ila siyo katika kiwango hiki. Kuna bidhaa ambazo hazina scarcity lakini kwa sababu ya poor market control basi watu wameamua kujipandishia kiholela kwa visingizio visivyo na mashiko.

4. Kamwe asingekubali Watumishi kudanganywa kuhusu maslahi yao. Ijapokuwa yeye mwenyewe hakuwaongezea watumishi chochote kwa kipindi kirefu, lakini angalau alikuwa mkweli na ndio maana watumishi walimvumilia kwa kipindi kirefu.

5. Kamwe asingekubali Bei ya mafuta kuzidi kupanda wakati kwenye soko la dunia yameshuka. Hapa naamini kwa spirit aliyokuwa nayo ya kutetea wananchi basi angefanya lobbying yoyote ile ili kupunguza ukali wa bei ya mafuta. Nchi imezungukwa na bahari hii, tungeweza kuagiza mafuta hata Urusi kama angekuwepo mzee wetu maana hakuwa muoga kufanya chochote as long as ni for the benefit of his country.

Angalia hii chart hapa chini, utaona ni mwezi wa 3 sasa mafuta yanashuka bei wakati huku kwetu yanazidi kupaa bei. Hizo bar 3 nyekundu kwenye kibox zinaonesha mafuta yapo downtrend ila cha kushangaza sisi huku tupo uptrend.

6. Kamwe asingekubali bei za vifurushi vya simu viwe vinabadilika kiholela. Katika dunia ya sasa ambayo inaenda na sayansi na teknolojia, huduma ya internet ni moja ya basic need. Sasa unapowaminya watu wasiweze kupata internet unawaweka kwenye njaa ambayo ni sawa na njaa zingine.

Bahati mbaya Waziri anayejusika na yeye anaonekana kama amebariki maana kwa mdomo wake amesema kabisa "Gharama zitaendelea kupanda".

7. Asingekubali kamwe wamasai kuhamishwa kwa lazima kutoka kwenye ardhi yao. Japokuwa inawezekana kulikuwa na nia njema kwenye hili, lakini naamini mzee angelishughulikia vizuri zaidi kuliko ambavyo imefanyika sasa. Ukiona wamasai walikuwa wanagoma kuhama ujue kuna kitu hakikuwa sawa.

8. Kamwe asingekubali Bei za pembejeo za kilimo kupanda kiholela. Moja ya eneo ambalo mzee alikuwa hapendi kabisa lichezewe basi ni kilimo.

Kwenye utawala wake bei za vyakula zilikuwa nafuu sana na ndio maana raia hatukupata shida sana pamoja na hali mbaya ya uchumi iliyokuwepo.

Lakini kwa sasa bei za pembejeo zimepaa, kitu ambacho kinapelekea hata bei za vyakula ziwe juu pia
 
TaiPei

Member
Aug 4, 2022
62
25

Angekuwepo Hayati Rais Magufuli Kamwe Asingekubali Haya Yatokee.​

1. Kamwe asingekubali Mita za LUKU kutumika kukata kodi za majengo. Hapa waathirika wengi ni wapangaji ambao wengi wao ni masikini na sio wamiliki wa hayo majengo/nyumba.

2. Kamwe asingekubali Tozo za miamala ya simu. Hili asingelikubali abadani asilani. Maana miamala tayari ilikuwa na VAT, sasa kuongeza tozo ni kama unamminya mwananchi mpaka aishiwe kabisa. Tena tozo zenyewe zinakatwa kwenye kutuma na kutoa😪.
3. Kamwe asingekubali Gharama za maisha kupanda kiholela. Ndio hatukatai kuna mfumuko wa bei ila siyo katika kiwango hiki. Kuna bidhaa ambazo hazina scarcity lakini kwa sababu ya poor market control basi watu wameamua kujipandishia kiholela kwa visingizio visivyo na mashiko.
4. Kamwe asingekubali Watumishi kudanganywa kuhusu maslahi yao. Ijapokuwa yeye mwenyewe hakuwaongezea watumishi chochote kwa kipindi kirefu, lakini angalau alikuwa mkweli na ndio maana watumishi walimvumilia kwa kipindi kirefu.
5. Kamwe asingekubali Bei ya mafuta kuzidi kupanda wakati kwenye soko la dunia yameshuka. Hapa naamini kwa spirit aliyokuwa nayo ya kutetea wananchi basi angefanya lobbying yoyote ile ili kupunguza ukali wa bei ya mafuta. Nchi imezungukwa na bahari hii, tungeweza kuagiza mafuta hata Urusi kama angekuwepo mzee wetu maana hakuwa muoga kufanya chochote as long as ni for the benefit of his country.
Angalia hii chart hapa chini, utaona ni mwezi wa 3 sasa mafuta yanashuka bei wakati huku kwetu yanazidi kupaa bei. Hizo bar 3 nyekundu kwenye kibox zinaonesha mafuta yapo downtrend ila cha kushangaza sisi huku tupo uptrend.
6. Kamwe asingekubali bei za vifurushi vya simu viwe vinabadilika kiholela. Katika dunia ya sasa ambayo inaenda na sayansi na teknolojia, huduma ya internet ni moja ya basic need. Sasa unapowaminya watu wasiweze kupata internet unawaweka kwenye njaa ambayo ni sawa na njaa zingine. Bahati mbaya Waziri anayejusika na yeye anaonekana kama amebariki maana kwa mdomo wake amesema kabisa "Gharama zitaendelea kupanda".
7. Asingekubali kamwe wamasai kuhamishwa kwa lazima kutoka kwenye ardhi yao. Japokuwa inawezekana kulikuwa na nia njema kwenye hili, lakini naamini mzee angelishughulikia vizuri zaidi kuliko ambavyo imefanyika sasa. Ukiona wamasai walikuwa wanagoma kuhama ujue kuna kitu hakikuwa sawa.
Mnahangaika Sana BAVICHA 😀
 
Muite

JF-Expert Member
Sep 10, 2013
1,432
2,443
DSO ameingiaje hapo!!! Mnapoelekea ipo siku Muhimbili watafanikiwa kugundua kinga ya COVID halafu mtasema RSO anafanya kazi nzuri sana. Mara kumi ungemuweka OCD.
Halafu ninachokiona hapa wewe uliyeandika utakuwa ndiye DSO mwenyewe UNAJIPA PROMOTION🤣🤣
 
covid 19

JF-Expert Member
May 9, 2014
2,013
3,251
Hizi bwebwe na uchawa wenu ndio unawaponzaga hao viongozi wenu.

Hamjui kusoma alama za nyakati.
 
The Sunk Cost Fallacy

JF-Expert Member
Dec 1, 2021
14,688
10,587
View attachment 2315751

Mama nakusalimu kwa jina la JMT,

Mimi ni muumini sana "Satstification & appreciation"

Nafahamu kwa kutumia vyombo vyako unafahamu taarifa zote za uchapakazi na Uhodari wa DED wetu, DC na DAS wetu, DSO wetu katika Wilaya hii,

Majuzi wakati unawaapisha wakuu wapya wa mikoa ulimmwagia sifa lukuki Dada yetu Mkurugenzi wa Malinyi Mhe Joanfaith John kwa uchapakazi wake uliotukuka ambao nchi nzima imekubaliana na wewe kuhusu binti yule kuwa ni mtu wakutiliwa mfano kwa Uchapakazi anaouonesha,

Mhe Rais wangu, hebu usipite Mbarali bila kuwapongeza na kuwatia moyo hawa viongozi wetu kwa mambo makubwa wanayofanya,

Wacha nitaje machache tu niliyoyaona:-

1. Wanafanya kazi kwa Upendo na Ushirikiano wa kiwango cha juu Sana,

2. Wanafanya vizuri Sana katika ukusanyaji wa Mapato mkoa mzima wa Mbeya,

3. Mbarali,Ndio Wilaya pekee hapa Tanzania iliyosajili mifugo yake kielektroniki kwa kiwango kikubwa ili kutekeleza sera yako ya kuongeza uuzwaji wa nyama na mifugo nje ya nchi,

4. Kusimamia vizuri kilimo cha Mpunga na mazao mengine,

5. Kusimamia vizuri miradi ya Ujenzi ikiwemo hii VETA utakayoizindua leo,

6. Kusimamia swala la Elimu bure kwa watoto wetu wote,

#MBEYA TUNAKUPENDA SANA MHE RAIS NADHANI UMEJIONEA MWENYEWE MAPOKEZI YETU
View attachment 2315756
Tangazo halina tarehe
 
Faana

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
21,604
16,773

  • Hawa viongozi wameamua kujisifia kwa kujifungulia uzi wenyewe
  • Ina maana mama hana macho au wanamuonaje
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

10 Reactions
Reply
Top Bottom