Mitaa ya Tegeta mabomba yanatoa Maji yenye matope, tatizo ni nini?

Mitaa ya Tegeta mabomba yanatoa Maji yenye matope, tatizo ni nini?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,636
Yangu jana usiku hadi leo Maji ya bomba siyo masafi yana tope

Tatizo nini?
 
Nashauri mngewasiliana na uongozi wa eneo lenu ili wao wawasiliane na uongozi wa idara ya maji,ili kuweza kubaini tatizo Ni Nini, maana inawezekana maji yakawa machafu yanakotoka au yakawa yapo chini Sana na hivyo kuchanganyikana na lile tope la chini linapovulugika, lakini kwa uhakika zaidi nikuwasiliana na wahusika ili kupata majibu sahihi
 
Ahsante mkuu
 
Hizi protokoo ndizo huharibu utendaji, Tanesco wameweka namba za emergency raia wapige moja kwa moja kwao, hawa wa maji wanataka utoe taarifa kwa mwenyekiti, diwani nk so what!
Hao ndio Wana Namba zetu na huwasiliana nasi Kwa karibu.
Pia nirahisi kutoa taarifa kamili maana wanajua mtandao wote ulipokatisha
 
Hizi protokoo ndizo huharibu utendaji, Tanesco wameweka namba za emergency raia wapige moja kwa moja kwao, hawa wa maji wanataka utoe taarifa kwa mwenyekiti, diwani nk so what!
Kama tatizo Ni dogo linaweza kutatuliwa ngazi ya chini lakini likikosa ufumbuzi lazima lipande juu, Ni Bora mpate majibu na kuwa na amani juu ya matumizi ya hayo maji juu ya usalama wake kwa watumiaji kuliko kuwa na majibu ya nadharia au mazoea
 
Hao ndio Wana Namba zetu na huwasiliana nasi Kwa karibu.
Pia nirahisi kutoa taarifa kamili maana wanajua mtandao wote ulipokatisha
Kwani hao wananchi hamuwezi kuwasikia na kuwaelewa?
What if hao viongozi wa mtaa hawafikiki kwa simu?
Kwa hiyo hata hizi taarifa hamuwezi kuzifanyia kazi mnasubiri mwenyekiti na diwani wawaambie
 
Kama tatizo Ni dogo linaweza kutatuliwa ngazi ya chini lakini likikosa ufumbuzi lazima lipande juu
Kama mteja amewapa taarifa ninyi, kuna shida gani mkiwatafuta hao ngazi ya chini ili kupunguza muda wa kusubiri hizo protokoo?
Je kama hayo maji yameambatana na sumu mtaendelea kusubiri ngazi ya chini itoe taarifa hata kama imelala?
 
Kama mteja amewapa taarifa ninyi, kuna shida gani mkiwatafuta hao ngazi ya chini ili kupunguza muda wa kusubiri hizo protokoo?
Je kama hayo maji yameambatana na sumu mtaendelea kusubiri ngazi ya chini itoe taarifa hata k

Kama mteja amewapa taarifa ninyi, kuna shida gani mkiwatafuta hao ngazi ya chini ili kupunguza muda wa kusubiri hizo protokoo?
Je kama hayo maji yameambatana na sumu mtaendelea kusubiri ngazi ya chini itoe taarifa hata kama imelala?
Uongozi hauwezi ukakaa kimya ikiwa unataarifa juu ya Hali hiyo, maana ukipata Ni lazima uanze Mara moja kutafuta chanzo na sababu ya tatizo husika kwa uharaka na weledi ili kuchukua hatua za haraka ikiwepo kukata maji Kama itabidi ili mwananchi apate maji Safi na salaama
 
Kwani huoni kwamba bado kuna vita Ukraine? Au umezaliwa jana asubuhi?
 
Tuna mwezi wa kumi sasa.maji ni machafu yana tope na kila alfajiri huwa yanakatika na kurudi jua lishachomoza au saa nne asubuhi tope tupu.na kila karibu na mwisho wa mwezi maji yanakatika hata siku 2.

Wakati wa JPM haya mambo hayakuwahi kutokea hapa dsm sijui shida iko wapi ili hali unit moja ya maji tunalipia 1700tsh.

Ni wakati waziri aweso alifanyiekazi suala hili
 
Bomba lilipasuka pale kwa shehe omary mapinga kwenye shell ya engine.karibu na mlima wa kupanda kerege.
 
Back
Top Bottom