Mbaga Lazaro
Senior Member
- Aug 9, 2020
- 132
- 109
Tai aingilia teknolojia.
Hii drone,kuna sehemu kulikuwa na sherehe ya harusi,kwenye ukumbi,ilipowashwa,kuna watu walitaka kutoka mbio,japo wanaijua,lakini mchukuaji picha,aliiwashwa ghafla kati kati ya sherehe.Mlio wake,uliwashtua wahudhuriaji,wakata kutoka mbio.Wahudhuriaji walikuwa wengi,M C,angetoa maelekezo ya kuwa,drone,inawashwa na kuchukuwa picha.Tai aingilia teknolojia.View attachment 2316865
Dunia Ina mambo aiseeHatari sana
Hii drone,kuna sehemu kulikuwa na sherehe ya harusi,kwenye ukumbi,ilipowashwa,kuna watu walitaka kutoka mbio,japo wanaijua,lakini mchukuaji picha,aliiwashwa ghafla kati kati ya sherehe.Mlio wake,uliwashtua wahudhuriaji,wakata kutoka mbio.Wahudhuriaji walikuwa wengi,M C,angetoa maelekezo ya kuwa,drone,inawashwa na kuchukuwa picha.
Waaalikwa walikuwa wengi,wangekanyagana.
Labda ingekuwa Bongo.Sio Bure
waweza fikiri mbinu shirikishi😆Nihatari mwaisa
Hahahaa pseodoscienceKwetu hapa, jamaa alionekana kwenye cctv tu ya mjengoni akifanya yake. Lakini hawakumtaja kwa jina
Hatari alizani kitoweo
eagle alijua mzigo mpyaa imeingia katika anga zake