Vyama vya Siasa ni sehemu ya serikali hivyo havina Haki ya kuhodhi Mchakato wa Katiba Mpya

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,780
141,667
Vyama vya Siasa ni sehemu ya serikali japo watu wengi wanaukwepa ukweli huu

Itoshe tu kusema Wananchi ndio wenye wajibu wa kujitengenezea Katiba yao na siyo wanasiasa

Mungu wa mbinguni awabariki
 
Vyama vya Siasa ni sehemu ya serikali japo watu wengi wanaukwepa ukweli huu

Itoshe tu kusema Wananchi ndio wenye wajibu wa kujitengenezea Katiba yao na siyo wanasiasa

Mungu wa mbinguni awabariki
Sisi wananchi............. Sisi wananchi tunatakiwa tutengeneze katiba ambayo inaonyesha tunavyo taka kujitawala. Hivyo katika mchakato wa katiba wanasiasa hawatakiwi kudominate bali wananchi wa kawaida. Namba za wanasiasa lazima zidhibitiwe vinginevyo itakula kwetu.
 
Back
Top Bottom