kashakambajile
JF-Expert Member
- Sep 18, 2020
- 219
- 214
Najaribu kuwaza ustawi wa Taifa letu huko twendako bila kupata jibu.Idadi ya vijina wanaomaliza vyuo vikuu na vya Kati inazidi kuongezeka huku ajira zikiwa hazipo.Lakini pia kunawanaomaliza shule za sekondari na shule za msingi.Hata wakijiajiri wenyewe idadi yao ni kubwa mno kupata mitaji ya kuwawezesha ajira binafsi.
Najua serkali inamipango mizuri za kutoa lakini ; hazitoshi tusipojikana nafsi wenyewe kupunguza tatizo la ajira kwa vijana hawa.Kwanza serkali ibane matumizi ikiwa pamoja kupunguza ukubwa wa serkali.Pili viwanda vilivyouzwa virejeshwe vilivyokiukaashariti na kutafuta mitaji ya kuvufufua na waajiriwa wawe vjn hawa.Intervew nafasi za kazi zifamywe na watu huru.Viongozi punguzeni safari na posho dedha zielekeWe kutafuta mitaji kwa ajili ya vijana