Israel Taifa linalo ogopeka duniani kwa ujasusi na mauwaji ya watu walioshindikana

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,183
11,200
Dunia yote macho hayapo China na Taiwan wala Ukraine na Russian. Macho yapo gaza ambapo Kikosi maalumu kilichopikwa kikapikika kina tekeleza kazi maalumu ambayo magaidi wakikundi cha kijihadi ambacho kimeleta madhara makubwa na kuifanya serikali ya Benet kuanguka sasa wanavuna utam wakile walikifanya kwa Taifa linalo ogopwa hata na mataifa makubwa duniani.
Ktk hali isio yakawaida Israel wameamua kuuthibitishia ulimwengu never ever threat us and if you think you can kindly ask German and PLo leader.

Taifa la Israel limefanikiwa kuwa uwa kikatili two command of Jihad group ambao walikuwa wakitumiwa kutekeleza mauwaji na mashambulizi ndani ya Israel. Zipo tetesi operation Israel wameiyanzisha itakula vichwa kadhaa vya top Jihad Group na hii operation itapanuliwa mpaka mataifa nje ya Israel.

Ikumbuwek kuwa operation hii ni special kwa makundi yakigaidi ambayo mfadhili wake ni Iran . Israel wamesema wanafanya hii operation pasipo kujali wapi wana Jihad wamejificha ila popote walipo ktk uso wa dunia wajiandae. Hakutokuwa na msalia mtu Iran kama mwanaume aingie watu wamalize.


Taifa la Israel ni Taifa lina tisha sna ktk maswala ya ujasusi kiasi inasemekana hata ziara ya Rais wa Marekani nakukaa siku tatu ilikuwa kupata taarifa yakile walikuwa wamekipata tayari kwa ku eliminate. Hilo kundi
 
... inapendeza sana kuona magaidi yanapukutishwa duniani. Hivi yale mapuuzi yaliyojiita brotherhood pale Egypt yamepotelea wapi? Hayasikiki siku hizi; yaliwaumiza sana Coptic.
 
Hivi Tanzania ipo unit kama hiyo Mistaaravim/Yamas inayohusika na counterterrorism?
 
Hii inanikumbusha kuna mbabe mmoja mtaani alikuwa na mdomo na mitusi kibao. Akipigwa ngumi tu familia nzima inakuja kumhami Israel haina jipya kama sio USA na Europe huyu kishafutwa zamani na Hamas.
 
Yaani ugaidi ulioasisiwa na marekani KWA September eleven ile ya mwaka 2001 ndio Huyo huyo auondoe kupitia Israel Taifa ambalo wengi wanadhani ni watakatifu wateule tena chaguo la Mungu linatumiwa na america ambayo ni wezi na wababe wanyonyaji wauwaji!!

Mi sielewi huu ushabiki wa Taifa hili la israel feki mnatoa wapi ujasiri wa kulisifu KWA mbwembwe tena KWA mauaji ya Ndugu zao!! WAKATI yesu alisema watachukuliwa mateka Baada ya kumkataa masihi na ni kweli mji ukavunjwa na hekalu likahariibiwa vibaya Sana na waisrael halisi hadi leo ni watumwa hapa DUNIANI na watumwa pekee wanaofahamika KIHISTORIA ni mtu mweusi Hadi leo!Sasa kwanini jamii ya watu WEUSI wasitambulike kama waisrael halisi kuliko hao feki wenye damu yenye nasaba za kituruki, kijerumani,kizungu na n.k KWA mujibu wa vipimo vya DNA inaonyesha ivo!

Mimi ni mkristo safi !nimekataa moyoni hilo Taifa la mchongo eti kuwa israel na hawafanani kimatendo wala kimaandiko wala KIHISTORIA!!

"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"
 
ujinga wa kushabikia taifa teule hujawai muacha mtu salama kweli ukitaka kumtawala mtu mpe dini kwanza anakua kipofu na kiziwi Israel ukitoa mkono wa CIA uliofichika nyuma ya mossad ni mchumba tu
 
Back
Top Bottom