Maonesho ya NaneNane "NEC" nao wamo

Maonesho ya NaneNane "NEC" nao wamo

Singo Batan

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2020
Posts
304
Reaction score
213
Jana katika pita pita zangu, nikawakuta NEC kwenye maonesho ya nane nane, ikabidi nijisogeze bandani kudadisi kidogo, kufahamu masuala kadhaa;
1. Kwanini wapo katika maonesho ya wakulima?
2. Baada ya uchaguzi wana kazi gani nyingine?
3. Wanajiandaaje na majukumu ya uchaguzi ujao?
4. Nini Mkakati wao kupunguza lawama wanazopewa na wadau?

MAJIBU YAO YALIKUWA NI HAYA HAPA
1. Wapo nanenane ili kukutana na wadau wao. Wakulima na wananchi wanaoshiriki katika maonesho hayo ni wadau muhimu sana katika masuala ya Uchaguzi na wengi wao kwa zaidi ya asilimia 80 ni wapiga kura.

2. Baada ya uchaguzi wanayo majukumu mengi tu, kuendelea kutoa elimu kuhusu upigaji kura ndio maana nimewakuta kwenye maonesho, kufanya tathmini ya uchaguzi uliopita kubaini changamoto za kisera na kisheria na kuzifikisha kwa vyombo vinavyohusika na sera, mipango na uratibu wa shughuli za bunge ili kama ni sheria, serikali kupitia bunge ione namna ya kuzirekebisha kwa manufaa ya umma na kuimarisha demokrasia. Pia wakaniambia wanaendelea kuratibu na kusimamia chaguzi ndogo zinapojitokeza.

3. Kuhusu kujiandaa na uchaguzi unaofuata wakaniambia kuna mambo makubwa matatu katika mzunguko wa uchaguzi na wao wanayagawa kwa kuzingatia wakati na tukio linalopaswa kutekelezwa mambo yaliyo katika mzunguko ni matukio kabla ya uchaguzi, matukio wakati wa uchaguzi na matukio baada ya uchaguzi. Wakanifafanulia kwamba Uchaguzi mmoja unapomalizika ndio mwanzo wa uchaguzi mwingine. Hivyo katika kujiandaa kunaanzia na mchakato niliouandika hapo juu, kufanya tathmini inayopelekea kuandaa mpango kazi wa uchaguzi unaofuata ikiwa ni pamoja na kuboresha daftari la kudumu la wapiga kura.

4. Kuhusu kupunguza lawama, hapa nilipata majibu yaliyonifanya nijifunze kitu. Waliniambia hivi; "Tume kazi yake ni kutekeleza majukumu yaliyoainishwa kisheria, msingi wa majukumu hayo yote upo kikatiba na sheria zilizotungwa na Bunge.
Zipo lawama zinazotokana na masuala ya kisheria tu ambazo zinaweza kutatuliwa kwa kurekebisha sheria hizo kama itaonekana zina upungufu. Tume haina namna inaweza kufanya tofauti na kufuata au kusimamia sheria. Zipo lawama zinazotokana na elimu ya uraia, tume ni moja tu ya taasisi zilizopewa jukumu la kutoa sehemu ya elimu ya uraia hususani elimu ya Mpiga Kura kama tunayotoa hapa, lakini eneo kubwa la elimu ya uraia lipo kwa taasisi nyingine, ni jukumu la wananchi kujifunza na kupata elimu hii ya uraia."
Na hapa nikapata funzo kwamba; Sisi wananchi tunao wajibu wa kufanya mbali na kuwawajibisha NEC. Kwanza kuielewa hii civic education na hasa wanasiasa, tujue na kuzifahamu sheria zinazohusu uchaguzi itasaidia kutokuwa na migogoro inayotokana na kushindwa kwa kutojua sheria au kukosa maarifa ya uraia kwa mapana yake.
Ila nimewasifu NEC pamoja na kupigiwa kelele hawajajifungia ofisini, wanatoka hadharani na kufafanua mambo mbalimbali, hii ni courage kubwa sana kwa mtazamo wangu. Wanatuonesha kwamba wao ni sehemu ya sisi wananchi na hii ni indication ya utayari wao wa kuboresha huduma kwa wadau wao.
 
Wasalimie wenzako hapo Nec
 
Hongera kwa kutembelea hilo banda la tume ya usimamizi wa wizi wa kura. Kama tume inasema haina uwezo wa kufanya nje ya sheria zinazolalamikiwa, huoni kuwa ulipoteza muda wako? Hiyo tume inasema inafanya kulingana na sheria zilizopo, sasa ni wapi sheria inasema wanaweza kutangaza matokeo ya kura zilizotoka nje ya kituo, ama matokeo yanayoletwa na vyombo vya dola ndani ya vituo?
 
Jana katika pita pita zangu, nikawakuta NEC kwenye maonesho ya nane nane, ikabidi nijisogeze bandani kudadisi kidogo, kufahamu masuala kadhaa;
1. Kwanini wapo katika maonesho ya wakulima?
2. Baada ya uchaguzi wana kazi gani nyingine?
3. Wanajiandaaje na majukumu ya uchaguzi ujao?
4. Nini Mkakati wao kupunguza lawama wanazopewa na wadau?

MAJIBU YAO YALIKUWA NI HAYA HAPA
1. Wapo nanenane ili kukutana na wadau wao. Wakulima na wananchi wanaoshiriki katika maonesho hayo ni wadau muhimu sana katika masuala ya Uchaguzi na wengi wao kwa zaidi ya asilimia 80 ni wapiga kura.

2. Baada ya uchaguzi wanayo majukumu mengi tu, kuendelea kutoa elimu kuhusu upigaji kura ndio maana nimewakuta kwenye maonesho, kufanya tathmini ya uchaguzi uliopita kubaini changamoto za kisera na kisheria na kuzifikisha kwa vyombo vinavyohusika na sera, mipango na uratibu wa shughuli za bunge ili kama ni sheria, serikali kupitia bunge ione namna ya kuzirekebisha kwa manufaa ya umma na kuimarisha demokrasia. Pia wakaniambia wanaendelea kuratibu na kusimamia chaguzi ndogo zinapojitokeza.

3. Kuhusu kujiandaa na uchaguzi unaofuata wakaniambia kuna mambo makubwa matatu katika mzunguko wa uchaguzi na wao wanayagawa kwa kuzingatia wakati na tukio linalopaswa kutekelezwa mambo yaliyo katika mzunguko ni matukio kabla ya uchaguzi, matukio wakati wa uchaguzi na matukio baada ya uchaguzi. Wakanifafanulia kwamba Uchaguzi mmoja unapomalizika ndio mwanzo wa uchaguzi mwingine. Hivyo katika kujiandaa kunaanzia na mchakato niliouandika hapo juu, kufanya tathmini inayopelekea kuandaa mpango kazi wa uchaguzi unaofuata ikiwa ni pamoja na kuboresha daftari la kudumu la wapiga kura.

4. Kuhusu kupunguza lawama, hapa nilipata majibu yaliyonifanya nijifunze kitu. Waliniambia hivi; "Tume kazi yake ni kutekeleza majukumu yaliyoainishwa kisheria, msingi wa majukumu hayo yote upo kikatiba na sheria zilizotungwa na Bunge.
Zipo lawama zinazotokana na masuala ya kisheria tu ambazo zinaweza kutatuliwa kwa kurekebisha sheria hizo kama itaonekana zina upungufu. Tume haina namna inaweza kufanya tofauti na kufuata au kusimamia sheria. Zipo lawama zinazotokana na elimu ya uraia, tume ni moja tu ya taasisi zilizopewa jukumu la kutoa sehemu ya elimu ya uraia hususani elimu ya Mpiga Kura kama tunayotoa hapa, lakini eneo kubwa la elimu ya uraia lipo kwa taasisi nyingine, ni jukumu la wananchi kujifunza na kupata elimu hii ya uraia."
Na hapa nikapata funzo kwamba; Sisi wananchi tunao wajibu wa kufanya mbali na kuwawajibisha NEC. Kwanza kuielewa hii civic education na hasa wanasiasa, tujue na kuzifahamu sheria zinazohusu uchaguzi itasaidia kutokuwa na migogoro inayotokana na kushindwa kwa kutojua sheria au kukosa maarifa ya uraia kwa mapana yake.
Ila nimewasifu NEC pamoja na kupigiwa kelele hawajajifungia ofisini, wanatoka hadharani na kufafanua mambo mbalimbali, hii ni courage kubwa sana kwa mtazamo wangu. Wanatuonesha kwamba wao ni sehemu ya sisi wananchi na hii ni indication ya utayari wao wa kuboresha huduma kwa wadau wao.
Sawa Mjumbe wa NEC hongereni kwa kazi ila hamtutendei haki katika Chaguzi .
 
Najua wewe sio kwamba ni mwananchi Bali unafanya kazi hapo. Naomba unisaidie kuulizia Yale yaliyotokea 2020 ya mtu akikosea kuweka nukta Tu kwenye fomu anaondolewa nayo ni ukosefu wa elimu au. Je makosa hayo kwann yalikua yakitokea Kwa wapinzani Tu.
 
wewe sio kwamba ni mwananchi Bali unafanya kazi hapo. Naomba unisaidie kuulizia Yale yaliyotokea 2020 ya mtu akikosea kuweka nukta Tu kwenye fomu anaondolewa nayo ni ukosefu wa elimu au. Je makosa hayo kwann yalikua yakitokea Kwa wapinzani Tu
Aisee hii tume ni miongoni mwa ufisadi mkubwa ambo huwa hautajwi hivi ni vyombo ambavyo bajeti yake ikapunguze Bei ya mbolea kuliko kupoteza muda na fedha eti mnafanya uchaguzi.
 
Jana katika pita pita zangu, nikawakuta NEC kwenye maonesho ya nane nane, ikabidi nijisogeze bandani kudadisi kidogo, kufahamu masuala kadhaa;
1. Kwanini wapo katika maonesho ya wakulima?
2. Baada ya uchaguzi wana kazi gani nyingine?
3. Wanajiandaaje na majukumu ya uchaguzi ujao?
4. Nini Mkakati wao kupunguza lawama wanazopewa na wadau?

MAJIBU YAO YALIKUWA NI HAYA HAPA
1. Wapo nanenane ili kukutana na wadau wao. Wakulima na wananchi wanaoshiriki katika maonesho hayo ni wadau muhimu sana katika masuala ya Uchaguzi na wengi wao kwa zaidi ya asilimia 80 ni wapiga kura.

2. Baada ya uchaguzi wanayo majukumu mengi tu, kuendelea kutoa elimu kuhusu upigaji kura ndio maana nimewakuta kwenye maonesho, kufanya tathmini ya uchaguzi uliopita kubaini changamoto za kisera na kisheria na kuzifikisha kwa vyombo vinavyohusika na sera, mipango na uratibu wa shughuli za bunge ili kama ni sheria, serikali kupitia bunge ione namna ya kuzirekebisha kwa manufaa ya umma na kuimarisha demokrasia. Pia wakaniambia wanaendelea kuratibu na kusimamia chaguzi ndogo zinapojitokeza.

3. Kuhusu kujiandaa na uchaguzi unaofuata wakaniambia kuna mambo makubwa matatu katika mzunguko wa uchaguzi na wao wanayagawa kwa kuzingatia wakati na tukio linalopaswa kutekelezwa mambo yaliyo katika mzunguko ni matukio kabla ya uchaguzi, matukio wakati wa uchaguzi na matukio baada ya uchaguzi. Wakanifafanulia kwamba Uchaguzi mmoja unapomalizika ndio mwanzo wa uchaguzi mwingine. Hivyo katika kujiandaa kunaanzia na mchakato niliouandika hapo juu, kufanya tathmini inayopelekea kuandaa mpango kazi wa uchaguzi unaofuata ikiwa ni pamoja na kuboresha daftari la kudumu la wapiga kura.

4. Kuhusu kupunguza lawama, hapa nilipata majibu yaliyonifanya nijifunze kitu. Waliniambia hivi; "Tume kazi yake ni kutekeleza majukumu yaliyoainishwa kisheria, msingi wa majukumu hayo yote upo kikatiba na sheria zilizotungwa na Bunge.
Zipo lawama zinazotokana na masuala ya kisheria tu ambazo zinaweza kutatuliwa kwa kurekebisha sheria hizo kama itaonekana zina upungufu. Tume haina namna inaweza kufanya tofauti na kufuata au kusimamia sheria. Zipo lawama zinazotokana na elimu ya uraia, tume ni moja tu ya taasisi zilizopewa jukumu la kutoa sehemu ya elimu ya uraia hususani elimu ya Mpiga Kura kama tunayotoa hapa, lakini eneo kubwa la elimu ya uraia lipo kwa taasisi nyingine, ni jukumu la wananchi kujifunza na kupata elimu hii ya uraia."
Na hapa nikapata funzo kwamba; Sisi wananchi tunao wajibu wa kufanya mbali na kuwawajibisha NEC. Kwanza kuielewa hii civic education na hasa wanasiasa, tujue na kuzifahamu sheria zinazohusu uchaguzi itasaidia kutokuwa na migogoro inayotokana na kushindwa kwa kutojua sheria au kukosa maarifa ya uraia kwa mapana yake.
Ila nimewasifu NEC pamoja na kupigiwa kelele hawajajifungia ofisini, wanatoka hadharani na kufafanua mambo mbalimbali, hii ni courage kubwa sana kwa mtazamo wangu. Wanatuonesha kwamba wao ni sehemu ya sisi wananchi na hii ni indication ya utayari wao wa kuboresha huduma kwa wadau wao.
Wanaenda kuonyesha ujuzi wao wa kuiba kura,na kuiba box la kura na kukimbia nalo
 
Hao wezi ingefaa wawe ndani ya gereza muda huu, siyo kwenye maonyesho ya nane nane!!!
 
Vijana wa Chadema maswali yenu yanafanana na makao makuu yenu yalivyo.
 
Back
Top Bottom