Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mheshimiwa Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete akiwa Kiongozi ya Timu ya Uangalizi ya Uchaguzi wa Kenya, ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, kwa nyakati tofauti, amekutana na kufanya mazungumzo na...
7 Reactions
33 Replies
3K Views
Taarifa ya rushwa kwenye kura za maoni kwenye ubunge wa CCM Kyela kila mwananchi wa Kyela nikiwemo mimi anajua Yuko mgombea mmoja ambaye alimwaga pikipiki kwa kila katibu wa kata kwenye jimbo...
7 Reactions
34 Replies
6K Views
Ukitoa waangalizi wa EU na Marekani, hawa wengine huwa ni wanafuata posho kwenye chaguzi wanazo enda kuwa watazamaji, sijawahi ona report zao, na EAC mfano hata kule Uganda uchaguzi ulivurugwa...
3 Reactions
3 Replies
826 Views
Ndugu zangu Jana katika ziara ya Mh Rais wetu inayo endelea huko mkoani Mbeya tumemsikia Rais wetu akisema kuwa serikali unakwenda kujenga vyumba vya madarasa Zaidi ya elfu nane. Kwa ajiri ya...
5 Reactions
70 Replies
3K Views
Huko Hai Kilimanjaro, Katibu wa CCM wilaya ametengeneza kituko cha mwaka ndani ya chama Tawala ccm kwa kuunda Kamati ya muda ya siasa ya ccm wilaya inayotokana na Makatibu wa matawi wa ccm ili...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Na Kevin Lameck Nchi Wanachama wa Umoja wa Mataifa mwaka 2015 zilipitisha Ajenda ya 2030 ya Maendeleo Endelevu na Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs). Lengo la tatu la ajenda hiyo lililenga...
0 Reactions
0 Replies
554 Views
Tuna wakuu wa wilaya wapya, tuna wakurugenzi wapya lakini tuna wakuu wa idara ambao bado wapo kwenye mfumo uleule wa upigaji. Walikuwa wanawakandamiza wananchi na wanahujumu miradi ya maendeleo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Serikali ya Tanzania inakusudia kuongeza kasi na kiwango cha uzalishaji wa mbegu za mafuta ya kula ili kuviwezesha viwanda vya ndani kuzalisha bidhaa hiyo itakayosaidia kuokoa fedha zinazotumika...
0 Reactions
2 Replies
596 Views
This man is pure evil, ni mtu corrupt, mbinafsi na self serving haijawahi kutokea, hana imani wala huruma na binadamu wengine, yuko tayari kufanya chochote na lolote kwa maslahi yake binafsi tu...
1 Reactions
34 Replies
2K Views
Mkuu wa mkoa wa Mwanza mh Malima amevunja kamati ya Ujenzi wa Jengo la abiria baada ya kubainika kuna ufisadi wa kutisha Malima ameitaka Takukuru kufanya uchunguzi wa kina na kuchukua hatua za...
5 Reactions
36 Replies
4K Views
Makamanda People's! Kuanzia sasa kuna miaka 2 kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa/Vijiji, pia kuna miaka 3 kuelekea uchaguzi mkuu. Nashauri yafuatayo yafanyiwe kazi; (1) Mfumo wa ujenzi wa...
5 Reactions
5 Replies
701 Views
Katika mkutano wake wa kwanza wa kumkaribisha alipewa ripoti kwamba Jiji la Mwanza lina Mgao wa Maji kwa sababu.pampu moja ni mbovu Kuanza kibarua huku Wananchi wa Nyamagana na Kirumba hawana...
2 Reactions
8 Replies
718 Views
Kazi iendelee! Wadau mtakuwa mashuhuda wa miradi mbalimbali inayotekelezwa na seriksli kupitia Ilani ya CCM tangu awamu ya kwanza hadi hii ya sita. Pongezi nyingi ziwafikie viongozi wote wa awamu...
1 Reactions
0 Replies
503 Views
Habari zenu wadau. Nimeona mimi kama mfanyakazi ninayeguswa na sheria na taratibu za mifuko ya hifadhi ya jamii nitoe pongezi kwa wabunge hawa Halima Mdee na Ester Bulaya kwa hoja zao bungeni...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Mwanafunzi ahaha kulipa deni la Sh9 milioni Mloganzila Rombo. Mwanafunzi wa Chuo cha Serikali za Mitaa (LGTI), Hombolo mkoani Dodoma, Lightness Shirima (22) amesema anahangaika kulipa deni la...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Rwanda to launch satellite constellation by end of 2023 Rwanda will join the list of African countries that have successfully orbited satellites, including Algeria, Ethiopia, Kenya, Zimbabwe...
3 Reactions
120 Replies
10K Views
Wandugu nawashangaa hawa wananchi wanaotembelewa na Raisi Samia siwasikii wakieleza kero zao wamesimama tu kama makatuni flani hivi,hawajielewi au wametishwa.
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Mike Pence, Ametua Zanzibar kabla ya Ziara yake ya kitalii ya kutembelea Serengeti National Park. Mike Pence (amezaliwa Juni 7, 1959) ni mwanasiasa wa kihafidhina wa Amerika ambaye alikuwa mjumbe...
17 Reactions
39 Replies
3K Views
Jana Jeshi la Urusi wamerusha video kuonesha limefanikiwa kuidungua Helicopter iliyokua na Mamluki wavita Yao na UKRAINE ndani ya jiji la MARIUPOL ambako mapigano makali bado yanaendelea...
40 Reactions
364 Replies
31K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…