Makamu wa Rais Mstaafu wa Marekani, Mike Pence atua Tanzania

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
23,400
44,757
Mike Pence, Ametua Zanzibar kabla ya Ziara yake ya kitalii ya kutembelea Serengeti National Park.

Mike Pence (amezaliwa Juni 7, 1959) ni mwanasiasa wa kihafidhina wa Amerika ambaye alikuwa mjumbe wa Baraza la Wawakilishi na gavana wa Indiana kabla ya kuwa makamu wa rais wa Marekani katika uchaguzi wa 2016. Alihudumu na Rais Donald Trump.

IMG-20220808-WA0006(1).jpg
 

Lord denning

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
9,981
20,773
Baada ya miezi miwili mbele, unasikia kuna mgodi wa madini adimu kabisa duniani umeuzwa kwa wawekezaji kutoka Marekani!
Hamkosi maneno mnashindwa tu kupongeza kuwa Rais kaupiga mwingi kukuza utalii saivi mnaishia kuokoteza tu vimaneno ili mradi mlalamike 😂
 

Lord denning

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
9,981
20,773
Yaani Mike Pence kutua Bongo ndiyo kuanza kutuvimbia hivi? Umeelewa au umevuta Bange?
Hakuna cha bangi wala nini

Mwezi wa saba tu Tanapa wamekusanya Bil 47 kwa utalii tu

Hii inaonekana sekta yetu ya utalii si mchezo we endelea tu kusononeka tuachie tunaojua namna Samia anavyoipeleka hii nchi mbele kimaendeleo tushangilie
 
17 Reactions
Reply
Top Bottom