RC Malima ana kibarua kizito Mwanza, amekaribishwa na Mgao wa Maji ila Umeme ni wa Uhakika!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,582
141,382
Katika mkutano wake wa kwanza wa kumkaribisha alipewa ripoti kwamba Jiji la Mwanza lina Mgao wa Maji kwa sababu.pampu moja ni mbovu

Kuanza kibarua huku Wananchi wa Nyamagana na Kirumba hawana Maji ya uhakika siyo jambo jema kwa kweli

Kila la kheri Adam
 
Kutoka mwaloni ziwani mpaka kirumba ni kilometa moja ila hatujaoga kwa simu tatu,Aweso amethibitisha kuwa Tanga uchawi ndio kwao.

Niko hapa daraja la furahisha
Sasa Hapo Tatizo ni Serikali au Akili Yako si Timamu. Si ukachote maji Ziwani Uoge ndugu yangu unasubiri Uchotewe uoge na Serikali na Upo karibu na Ziwa
 
Back
Top Bottom