Uchaguzi 2020 Uchaguzi wa 2020 ziko wapi Ripoti za waangalizi EAC, SADC, AU na Commonwealth?

MURUSI

JF-Expert Member
Jun 25, 2013
4,496
8,731
Ukitoa waangalizi wa EU na Marekani, hawa wengine huwa ni wanafuata posho kwenye chaguzi wanazo enda kuwa watazamaji, sijawahi ona report zao, na EAC mfano hata kule Uganda uchaguzi ulivurugwa hawajahi onyesha kusikitishwa achilia mbali Tanzania.

SADC kule Zimbabwe awe kati wa Mugabe report zao zote zilikuwa zinaonyesha Uchaguzi ni huru na haki, Mugabe alikuwa akishinda kwa asilimia 85 na kuendelea.

Hawa AU ni wanafiki watupu.

Nashauri Upinzani next election wasikubali kukutana na waangalizi kutoka hizo taasisi hapo juu make kikubwa huwa wanafuata posho basi. EAC hawana uwezo wa kukemea chaguzi chafu ndani ya EAC sasa wanapelekaga waangalizi wa nini? SADC pia hana uwezo wa kukemea je anapelekaga waangalizi wa nini? AU hana uwezo wa kukemea je anapelekaga waangalizi wa nini?

Commonwealth yeye anaogopa kuwauzi wanachama wake ili wasije jitoa naye mnafiki mtupu.
 
Hizo jumuiya za kikanda na kimataifa hazina tofauti na vijiwe vya kahawa vya Buza.
thinkstupid.png
 
Ukitoa waangalizi wa EU na Marekani, hawa wengine huwa ni wanafuata posho kwenye chaguzi wanazo enda kuwa watazamaji, sijawahi ona report zao, na EAC mfano hata kule Uganda uchaguzi ulivurugwa hawajahi onyesha kusikitishwa achilia mbali Tanzania.

SADC kule Zimbabwe awe kati wa Mugabe report zao zote zilikuwa zinaonyesha Uchaguzi ni huru na haki, Mugabe alikuwa akishinda kwa asilimia 85 na kuendelea.

Hawa AU ni wanafiki watupu.

Nashauri Upinzani next election wasikubali kukutana na waangalizi kutoka hizo taasisi hapo juu make kikubwa huwa wanafuata posho basi. EAC hawana uwezo wa kukemea chaguzi chafu ndani ya EAC sasa wanapelekaga waangalizi wa nini? SADC pia hana uwezo wa kukemea je anapelekaga waangalizi wa nini? AU hana uwezo wa kukemea je anapelekaga waangalizi wa nini?

Commonwealth yeye anaogopa kuwauzi wanachama wake ili wasije jitoa naye mnafiki mtupu.
MWENDAZAKE alizichoma Moto
 
Back
Top Bottom