Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 15,187
- 9,633
Ndugu zangu Jana katika ziara ya Mh Rais wetu inayo endelea huko mkoani Mbeya tumemsikia Rais wetu akisema kuwa serikali unakwenda kujenga vyumba vya madarasa Zaidi ya elfu nane. Kwa ajiri ya wanafunzi wa kidato Cha kwanza hapo mwakani mwezi wa kwanza.
Ndugu zangu huko nyuma tulizoea kuona maneno haya yakitamkwa mwezi wa kumi na mbili ndio heka heka za ujenzi wa madarasa ulikuwa unaanza ambapo Hadi watanzania wakijuwa wanashangaa iweje kazi ianze saizi ya kukimbizana na ujenzi wakati tulikuwa tunajuwa wanafunzi wangapi wanamaliza la Saba, tuliona namna ma-RC na DC wakishindana kushinda site ili kukamilisha Madarasa huku mvua nazo zikinyesha.
Wakati mwingine hata ubora wa madarasa ulikuwa unatoa Shaka kutokanaa na uharaka wa kukimbizana na muda, lakini kwa kuwa Rais Ni kiongozi mwenye maono na dira tayari ameshaliona Hilo na kuliwekea mikakati na Wala hatutaona wanafunzi wakikaa majumbani kusubiri madarasa, maana tayari Rais wetu ameshaweka mikakati ya ujenzi wa madarasa mapema kabisa.
Rai yangu ni kwa wasaidizi wake hasa ma Rc, DC, Ras, Das, Ded na madiwani kusimamia ipasavyo kazi hii na kushirikiana vyema katika maeneo yao bila mivutano na migogoro itakayorudisha nyuma juhudi za Mh Rais wetu kipenzi cha Watanzania.
Asante Rais, Kazi iendeleee