Katibu wa CCM wilaya ya hai aunda kamati ya siasa ya muda ya CCM wilaya kimakosa na kusababisha taharuki ndani ya CCM jimbo la Hai

peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
12,769
21,323
Huko Hai Kilimanjaro, Katibu wa CCM wilaya ametengeneza kituko cha mwaka ndani ya chama Tawala ccm kwa kuunda Kamati ya muda ya siasa ya ccm wilaya inayotokana na Makatibu wa matawi wa ccm ili kujadili wagombea wa ccm waliochukua fomu kugombea nafasi mbali mbali ndani ya chama.

Swali la kujiuliza,
Katibu wa ccm wilaya amesahau au amefanya makusudi ya kuunda hiyo Kamati ya siasa ya muda kabla uchaguzi ngazi ya kata kumalizika Ili iundwe kamati ya ccm ya siasa ya wilaya kupitia wajumbe kutoka Halmashauri kuu ya ccm wilaya kuanzia tarehe 6.8.2022?

Wana ccm Wilaya ya Hai wanaomba kuundwa kwa kamati ya siasa ya wilaya baada ya uchaguzi mkuu ngazi ya kata, Ili wajumbe hao waweze kuunda Halmashauri kuu ya ccm wilaya ambayo itawachagua wajumbe wa kamati ya siasa ya muda ya kuwajadili wajumbe walio omba uongozi ngazi ya wilaya.

Hiki ni kilio kikubwa Kwenye uchaguzi mkuu ndani ya wilaya ya Hai.
Katibu wa ccm wilaya rekebisha aibu hii ndani ya chama tawala huko WILAYA YA HAI.

Iwapo kamati hiyo ya muda aliyoiundwa Katibu wa ccm wilaya itajadili wagombea ngazi ya wilaya kuna uwezekano mkubwa kutokea mapasuko ndani ya chama wilaya ya Hai.

Swali la pili la kujiuliza,
ni wilaya ipi Tanzania ambayo ccm imeshaunda kamati ya siasa ya wilaya ya muda inayotokana na Makatibu wa matawi wa ccm?

Swali la Tatu,
Katibu wa ccm wilaya alikuwa amechagua Majina ya kamati ya siasa ya wilaya ya muda bila kushirikisha sekretariet ya chama,kamati ya siasa ya chama ya wilaya na kuyapeleka Halmashauri kuu Ili yabarikiwe akisema Majina amepewa na Katibu wa ccm wa mkoa wa Kilimanjaro.
Kuna kila dalili Za wazi uchaguzi wa ccm wilaya ya Hai kuvurujika na kusababisha chadema kujipatia faida ya mpasuko huo kujiunga kulia jimbo kiurahisi mwaka 2025.

Katibu mkuu wa ccm TAIFA unaomba kuangalia jambo hili kwa jicho la pili na la haraka .
 
Humjui Mwenyekiti wako unakuja kushitaki humu? Wewe kama ni mgombea wa huko inabidi Katibu akate jina lako ili uisome tarakimu
 
Back
Top Bottom