Wananchi wapo katika hali ya kupigwa na butwaa kuhusiana na hayo makato mapya ya mihamala kibenki. Serikali yetu imekuwa ikifanya maamuzi ya tozo bila utoaji taarifa kwa wananchi husika ambao sisi...
Kumekuwa na kujinadi kuwa Sensa ni kwa ajili ya Serikali kusaidia watu.
Serikali hii hii ya tozo?
Kwamba basi Ina mpango lini wa kuachana na makamuzi ya tozo yasiyokuwa na chembe ya uhalali Ili...
Nimebahatika kufuatilia na kushiriki mikutano na mijadala maeneo mbalimbali kuhusu Muungano wa Tanzania hii.
Mitazamo ya baadhi ya watu inaashiria muungano wa Tanzania Bara na Zanzibar unaendelea...
Kwa muda mfupi iliyodumu serikali ya awamu ya 6, zimeanzishwa Tozo mbalimbali kwaajili ya kuongeza makusanyo ya Serikali.
Je unadhani tozo hizo ziendelee au serikali itafute namna nyingine ya...
USIACHE KUMSIKILIZA HADI MWISHO HAKIKA MTU HUYU NI HAZINA KWA TAIFA,
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka Jumanne Agosti 23, 2022 ameshiriki katika zoezi la...
Mabibi na mabwana na hasa wale wazalendo mapambano kudai haki, uhuru na maendeleo bado yanaendelea.
Alisema J. J. Rawlings (rip):
"Ni lazima ifikie pale ambapo hata kama shweitani atakuwa ndiye...
Imeelezwa kuwa Wananchi wengi hawana uhakika kuhusu matumizi ya mapato yatokanayo na tozo kwani 42% wanasema kuwa hawajui yanatumikaje ikilinganishwa na 38% ya wanaosema wanajua namna mapato hayo...
Nimesikia mara nyingi sana baadhi ya wananchi wakiipongeza serikali kwa wao kumiliki nyumba, gari, buashara, kuwa na kazi, elimu hata kama wamelipa ada. Nk Au wengine kuwalumu serikali kwa kukosa...
Ina maana kama Taifa hatuhitaji kujua hali ya ufugaji wa huu mfugo utupatiao kitimoto kilicho mkipenzi cha wengi?
Je, hakuna mpango wa kuendeleza ufugaji wa nguruwe? Je hakuna haja ya kujua tuna...
Hii ni dhahiri kuwa, Kwa Africa na Tanzania, kuwapata viongozi wenye focus na maisha ya watu wao ilivvyo ngumu kupatikana.
Sera ya CCM ya kuwalambisha Asali wote wenye vidomodomo na kiherehere...
Hii ni hatari kwa walalahoi na wavuja jasho.
👇
Wasomi wa masuala ya kodi, wamesema kuwa Sheria ya Tozo ya Miamala ya Kielektroniki ya mwaka 2022, haikufanyiwa tathmini ya athari zake kwenye uchumi...
Habari!
Natafakari hapa kazi ya siku moja inamezwa vipi na semina ya wiki tatu sipati majibu.
Kazi ya ukarani ambayo sifa ni kidato cha 4 na kujua kutumia smartphone tu. Programs zote zipo...
Kesho ni siku ambayo, kesi ya Madai ya Uhalali wa Muungano iliyofunguliwa na Wazanzibari wapatao 40,000 itasikilizwa. Waswahili wana maneno yao wanasema "Bora kua na adui alieelimika utanufaika...
Mwenyekiti wa chama cha TLP, Augustino Lyatonga Mrema (77) amefariki duninia leo Jumapili 21 August 2022, saa 12.15 asubuhi, katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) jijini Dar es Salaam...
Jamani eeh, hivi hawa viongozi siku hizi wanatuonaje wananchi? Wanadhani kwamba tuko mambumbumbu kiasi hiko?
Iko hivi, siku zote muswada wa sheria hutungiwa nje ya bunge, kisha Bunge hutunga...
Ikumbukwe mzee mrema amewahi kushika nyadhifa mbalimbali serikalini zikiwemo waziri wa mambo ya ndani na naibu waziri mkuu.
Sielewi mamlaka ya kwa kufanya teuzi zenye vyeo ambavyo havipo...
Hello great thinkers...
Mimi naona hii njia ya kuhesabu kura zote Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu ina mapungufu.
Kanda ya Ziwa ni kama inadetermine nani atakuwa Rais.
Na wenyewe kwa kutambua hili...
Wakazi wa kata ya Mvuleni, manispaa ya Lindi wameeleza watakavyonufaika na uwepo wa kituo cha afya cha kisasa kilichojengwa kutokana fedha za tozo za miamala ya simu kikiwa na thamani ya Sh250...
Najua Kikeke umo humu JF!
Nimefuatilia mahojiano yako na Waziri Makamba, Waziri Nape na Mwenyekiti wa ACT wazalendo mzee Duni kwa nyakati tofauti. Nikiwa mdau wa BBC Dira ya Dunia nitafarijika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.