Sensa ni kwa ajili ya Serikali kusaidia watu?

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
27,823
35,828
Kumekuwa na kujinadi kuwa Sensa ni kwa ajili ya Serikali kusaidia watu.

Serikali hii hii ya tozo?

Kwamba basi Ina mpango lini wa kuachana na makamuzi ya tozo yasiyokuwa na chembe ya uhalali Ili ianze kusaidia watu?

Serikali hii hii ya walamba asali?

Beberu anasema - "too good to be true."

Si waseme tu, uelekeo sasa ni nyumba kwa nyumba?
 
Sensa ni zaidi ya tuijuavyo. Human population vs natural resources
Wanaopanga mikakati mizito ya dunia ndio naona watanufaika na hizi takwimu
 
Sensa ipo kwa ajili ya kujua idadi ya watu, tozo ndio zipo kwa ajili ya maendeleo kama kweli zinatumika ipasavyo, kwasababu siku hizzi hata hatuambiwi kuhusu mapato na matumizi yake.
 
Tozo na kodi zaidi ya mara moja, ni wizi hata kama ni %0.001
Kwanini watoze zaidi ya mara moja?
Kamshahara kenyewe kaduchu kameshakatwa PAYE, (Japo wanakata more than 10%, na wanasema ni single digit lakini wanakata zaidi)

Hii serikali, kinachozungumzwa hadharani na wanavyotenda ni tofauti kabisa. Na huo ndio ukweli. Hata kama watu watafukuzwa kazi au kulazimishwa kujiuzulu kwa kusema ukweli; bado ukweli utabaku kuwa ukweli daima!

Kodi za makazi, kodi za ardhi, tozo za miamala, tozo za kutoa na kuweka, VAT kwenye bidhaa, mikopo, royal tour, uwekezaji, lakini bado hakuna kinachofanyika!
Miradi ni ile ile kila kukicha! Tunaweka jiwe la msingi, tunafungua mradi x... Baadhi ya viongozi wamegeuza hii miradi kuwa vitega uchumi kwa maslahi yao binafsi!
Tutaendelea kuwa na uchumi tegemezi hadi lini?
Rasilimali za nchi ni nani wanazifaidi?
Fedha za royal tour, mikopo na uwekezaji zinafanya kazi gani?

Kodi na tozo zaidi ya mara moja kwa kipato hicho hicho, ni uonevu!
 
Zingatia nyongeza iliyotolewa kwenye mishahara mei mosi kwa wote walioongezwa haitoshi kulipia tozo kwenye kuuchukua mshahara wote bank.
 
Inaumiza sana ni basi tu.

Na tatizo la hizi tozo ni kwamba, hazina uwiano sawa kwa wenye vipato vikubwa na vidogo.

Mtu anatuma pesa kwa ndg, jamaa, rafiki anakatwa tozo, yule aliyetumiwa naye anakatwa tozo. Na wakati huohuo taasisi na makampuni nayo yameongeza makato! Na bado watawalipa serikali gawio lao

Hivi wanatuchukuliaje lakini? Mbona wao viongozi hawaoneshi kuunga mkono jitihada kwa kupunguza mishahara yao mikubwa na misafara?

Mtu anatoka jirani kabisa na ofisi lakini anatumia msafara wa magari mengi!
 
Wanasema huwa hatujashindwa kuzowea. Hivyo wanatuchukulia poa poa tu.
 
Serikali imeamua kuwaibia wananchi wake pesa za mfukoni ili ijenge uchumi kupitia TOZO. Hili ni kosa kisheria.
 
Mi sioni fanida ya kuhesabiwa, yaani Sensa ni sawa na risiti dukani - una hiari uchukue ama uache maana faida zenyewe hatuzioni, matiatizo matupu kila kunapokucha.
 
Back
Top Bottom