Hapana asiejua kwamba Zanzibar inatawaliwa na kuburuzwa na Tanganyika. Kwa miaka sitini yote ya muungano, ndio kwanza Rais aliepo madarakani hivi sasa ndio mzaliwa wa Zanzibar, lakini...
WAZIRI AWESO AKEMEA MATUMIZI MABAYA YA FEDHA MIRADI YA MAJI;AMUONDOA MHANDISI WA MAJI KONDOA
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso amemuondosha katika nafasi ya Meneja wa RUWASA Wilaya Kondoa Mhandisi...
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni mh Gondwe amewataka Makarani wa Sensa wilayani kwake wachape kazi kwani hakuna karani atakayekopwa
Gondwer amesema fedha za Makarani.zipo tayari
Source: Millard ayo tv
Kelele ni nyingi lakini kwa sehemu kubwa sauti zinazosikika ni zile za wananchi wa kawaida tu, hatuoni wanaharakati Wala vyama vya kisiasa hususani chama kama CHADEMA kikitoa tamko lolote zaidi ya...
Jengo la mahakama ya West Meru lililotekelezwa
Wananchi wa Meru wameoimba serikali kufufua mahakama zilizotelekezwa ili kurahisisha usikilizaji wa kesi katika Kata zote zinazoizunguka Meru...
Mkuu wa mkoa wa Singida, Peter Serukamba amesema NBS imewapa Power bank kwa ajili ya Vishikwambi kwa maeneo yenye Changamoto za umeme
Power bank hizo zimesambazwa kwa helicopter za Polisi nchi...
Luhaga Mpina, mmoja kati ya Mawaziri waliochukiwa sana hasa Kanda ya ziwa, alichukizwa sana kuona Samia Suluhu Hassan anaapishwa kuwa Rais.
Yeye na kundi la akina Polepole na Ndungai, Kalemani...
Hiii nchi na serikali kuu mnaziamini bado halimashauri hizi kwenye maswala ya fedha lakini bado zina misingi ya hovyo tangu kuumbwa kwake, wamejaa mchwa na wezi huko.
Mnahabari Hadi sasa kuna...
Taarifa ya habari ya UTV imeripoti leo magari ya kubeba cement yamekwama kwa zaidi ya siku saba kwa ukosefu wa mzigo wa cement kutokana na kusimama uzalishaji.
TANESCO imeshindwa kutoa umeme wa...
Nimesikia tetesi kwamba mzee Lyatonga Mrema anaenda kustaafu nafasi yake ya Mwenyekiti wa Parole na inategemewa atarithiwa na mh Freeman Mbowe
Kuna yoyote mwenye uhakika wanabodi?
Moja kwa moja,
Kwanza niwasifu wapinzani wote waliojitolea maisha na muda wao kuleta sera mbadala, kukosoa na kushauri serikali pale inapobidi.
Wapinzani walipitia kipindi kigumu sana hasa hasa...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti ndio imelifikisha taifa hapa lililopo sasa kwenye mkwamo na mgogoro mkubwa wa kuichumi kwa kubariki msururu mkubwa wa tozo kwa wananchi masikini.
Bahati mbaya...
Naomba kwa heshima na unyenyekevu mkubwa niwasilishe maoni yangu ikiwa Kamati za Bunge zinakutana Dodoma kujadili masuala mbalimbali yanayohusu nchi yetu.
Naomba Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson...
Asante Samia kwa Sensa ya Kihistoria Tanzania
Na Mwandishi Maalum. Twende Pamoja. Dar es salaam
Hatimaye siku iliyokuwa ikingojewa sana na kila Mtanzania, iliwadia, ya tarehe 23 Agosti, 2022, na...
Kabla matatizo ya tozo hayajapoa huko tena hazina moto umewaka wastaafu wajiandae kuisoma namba kama gazeti la Tanzania Daima halina habari za upotishaji ! Waziri wa fedha kwa sasa ndiye...
Mbunge mh Mpina leo ameichambua Bajeti ya serikali kikamilifu na haya yamejiri:
Mosi, amehoji kwanini Serikali inataka kuibadili ranchi ya Mifugo Kongwa kuwa shamba la alizeti ilhali kuna mapori...
Hakuna mwananchi asiyependa maendeleo lakini tozo zenu zimekuwa mwiba mkubwa kwa wananchi hilo mnalijua badala ya kupunguza matumizi makubwa Serikalini nyie mnazidi kuongeza mzigo kwa wananchi...
Ingawa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu tayari inachunguza uhalifu wa kivita, uhalifu dhidi ya ubinadamu na mauaji ya halaiki nchini Ukraine, haiwezi kuendeleza uchunguzi huo katika madai ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.