Shaka Hamdu Shaka avipongeza vyama vyote 19 vya siasa nchini kwa juhudi zao kubwa za kuhamasisha sensa, ampongeza Rais Samia kwa sensa ya kidijitali

CM 1774858

JF-Expert Member
May 29, 2021
4,983
4,080
USIACHE KUMSIKILIZA HADI MWISHO HAKIKA MTU HUYU NI HAZINA KWA TAIFA,

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka Jumanne Agosti 23, 2022 ameshiriki katika zoezi la kuhesabiwa katika zoezi la Sensa ya watu na Makaazi nyumbani kwake Buyu Pwani, Wilaya ya Magharibi “B”, Mkoa wa Mjini Magharibi visiwani Zanzibar.

Ukihesabiwa
Tukihesabiwa
Nikihesabiwa
Tutakuwa Tumehesabiwa, Shiriki Sensa ya watu na Makaazi 2022.

IMG-20220823-WA0235.jpg
 
Ninamuona ndugu Shaka hamidu Shaka akifika mbali Sana kiuongozi katika nchi hii, Ni kiongozi mwenye utulivu Sana anapokuwa Anajenga hoja zake, ana uzoefu wa kutosha kiuongozi, Hana ulimbukeni wa kiuongozi

Ndugu Shaka Ni kiongozi anayejitahidi kutumia nguvu zake zote katika kuhakikisha kuwa wananchi wanapata huduma bila kuonewa na mtumishi yoyote mwenye dhamana, anajitahidi Sana kuwasemea wananchi wanyonge

Ndugu Shaka Hataki kupelekewa ripoti ya utekelezaji wa ilani mezani pake Bali anakwenda moja kwa moja waliko wananchi ili kujionea hali halisi ilivyo kwa wananchi na Kama wanahudumiwa ipasavyo

Ndugu Shaka Ni kiongozi mnyenyekevu Sana maana pamoja na ukubwa wa cheo chake unamkuta yupo na wananchi wanyonge akiwasikiliza kero zao na kuzitafutia suluhisho kwa kutoa maagizo kwa viongozi wa kiserikali Kama alivyo fanya kule Tabora kuhusu wa mama wajawazito kupatiwa huduma bure pasipo kutozwa fedha

Ndugu Shaka anatambua kuwa uongozi Ni utumishi ndio maana unamuona muda wote yupo kuwatumikia wananchi maeneo mbalimbali hapa nchi, Na kila anakopita anatoa matumaini kwa wananchi wanyonge wanaokuwa na kero mbalimbali

Mimi Lucas mwashambwa naichukua nafasi hii kumshukuru Sana mh Mwenyekiti wangu na Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mama Samia suluhu Hassani kumwamini ndugu Shaka hamidu Shaka kuwa hapo Alipo, Nikiwa mwanachama wa kawaida ninajivunia na kujifunza mengi Sana Kama kijana kupitia uongozi wa mwenezi wangu Taifa
 
umeandika maneno makubwa Sana,

Mungu atubariki wote kwa pamoja
 
Acha nicheke tu, yaani cheo cha msemaji wa CCM nacho ni cheo kikubwa?! Ni msemaji wa umoja wa NATO nini?
 
Ila jpm alitaka kumpoteza kisiasa
 
Back
Top Bottom