Nategemea Salim Kikeke utamuhoji pia Freeman Mbowe wa CHADEMA katika sherehe hizi za miaka 10 ya BBC Dira ya Dunia

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,867
141,804
Najua Kikeke umo humu JF!

Nimefuatilia mahojiano yako na Waziri Makamba, Waziri Nape na Mwenyekiti wa ACT wazalendo mzee Duni kwa nyakati tofauti. Nikiwa mdau wa BBC Dira ya Dunia nitafarijika kama utafanya mahojiano na kiongozi mkuu wa Upinzani nchini Mh. Freeman Mbowe.

Naomba kuwasilisha!
 
Najua Kikeke umo humu JF

Nimefuatilia mahojiano yako na Waziri Makamba, Waziri Nape na Mwenyekiti wa ACT wazalendo mzee Duni kwa nyakati tofauti

Nikiwa mdau wa BBC Dira ya Dunia nitafarijika kama utafanya mahojiano na Kiongozi mkuu wa Upinzani nchini mh Freeman Mbowe

Naomba kuwasilisha!
Mbowe bado kiongozi mkuu wa upinzani nchi gani?
 
Najua Kikeke umo humu JF

Nimefuatilia mahojiano yako na Waziri Makamba, Waziri Nape na Mwenyekiti wa ACT wazalendo mzee Duni kwa nyakati tofauti

Nikiwa mdau wa BBC Dira ya Dunia nitafarijika kama utafanya mahojiano na Kiongozi mkuu wa Upinzani nchini mh Freeman Mbowe

Naomba kuwasilisha!
Kama yupo ungemfata inbox mkuu
 
Back
Top Bottom