Ndugu zangu mimi sitaki kuandika sana ila kiukweli kabisa serikali yangu inapoelekea itatufanya tuwe masikini hasa wale wakipato cha chini.
Embu tuseme ukweli mnakusanya kila aina ya kodi yani...
Sawa sikatai mmenipa mkopo nimesoma kwa mkopo wa HESLB sasa hata matokeo sijapata ya mwaka wa mwisho nimemaliza chuo mwezi wa saba mwaka huu na mwezi wa nane mnaanza kunikata kweli jamani...
Karani lasema atarudi mara ya pili kuhesabu makazi
Ndio nauliza hii ni Sensa ya Watu na Makazi au Sensa ya Watu inajitegemea na ya Makazi inajitegemea?
Mungu wa mbinguni awabariki
Wakati Hofu kuu ilipokuwa imeikumba dunia kutokana na corona, Magufuli alituongoza watanzania kumtanguliza Mungu kwa maombi na Mungu alituponya na kuiondolea mbali kabisa hofu ya corona. Na...
Mabadiliko ya utaratibu wa kuhesabu watu kwa mwaka 2022, tofauti na miaka mingine je, ni kweli yana tija kwa wananchi wa kawaida?
Mabadiliko hayo baadhi ni pamoja na:
1: kubadilika kwa mihula ya...
Hakuna kingine communism inafanya isipokuwa kuwahudumia politiburo, mfumo wa Tanzania haukuundwa kujali mtu wa kawaida bali ni kwa ajili ya wale walio juu na hilo ni kuanzia Serikalini, Mashirika...
Ni saa 5;50 tarehe 26/08/2022.
Kichwa Cha habari kinajieleza kinatutaka Kila kijana wa kitanzania, mtu mzima wa Tanzania, ambao wote tupo nje ya mfumo WA utawala tunapata picha gani ya maisha ya...
MAMIA ya wakazi wa jiji la Arusha wamejitokeza kwa wingi kushiriki maandamano makubwa ya kuhamasisha zoezi la sensa ya watu na makazi yaliyoandaliwa naTaasisi ya dini ya kiislamu ya Twarika...
Nimekaa tu na kujiuliza kama raia wa kawaida kwamba serikali yetu inakopa na inaendelea kukopa, na inaonekana kila inapotokea uhitaji au upungufu wa aina yoyote, ufumbuzi unaowajia viongozi wetu...
Shinikizo na uchovu unaokuja na kazi ya Udaktari umesababisha wengi wao kuripoti kazini wakiwa wamelewa, ripoti mpya imefichua.
Kulingana na utafiti wa All Points North (APN), kampuni ya afya ya...
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imeipa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mwezi mmoja (sawa na siku 30) kuipelekea mpango kazi wa namna walivyojipanga kukabiliana na hoja za kikaguzi...
Leo tarehe 10/02/2022 amewasiri Rais wa Benki ya Maendelo Afrika wilayani Chato kwa ajili ya kutembelea mahali alipozikwa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John...
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Mwanaidi Sinare Maajar kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Anachukua nafasi ya Jaji mstaafu, Mhe. Damian Lubuva aliyemaliza muda...
Salaam Wakuu,
Mkurugenzi Mkuu Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Dk. Albina Chuwa, tunaomba apumzishwe ili kazi hii ya Sensa iende Vizuri. Hili ni Suala la Kitaifa si Swala la CCM. Kila mtanzania...
Hivi huyu mtu anafahamu hata Medical Ethics?
Waziri wa afya jifunze ‘medical ethics’ under the concept of ‘non malificence’ you can’t do harm to a patience.
Hakuna priority kwenye afya who...
Hapana asiejua kwamba Zanzibar inatawaliwa na kuburuzwa na Tanganyika. Kwa miaka sitini yote ya muungano, ndio kwanza Rais aliepo madarakani hivi sasa ndio mzaliwa wa Zanzibar, lakini...
WAZIRI AWESO AKEMEA MATUMIZI MABAYA YA FEDHA MIRADI YA MAJI;AMUONDOA MHANDISI WA MAJI KONDOA
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso amemuondosha katika nafasi ya Meneja wa RUWASA Wilaya Kondoa Mhandisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.