Najua Kikeke umo humu JF!
Nimefuatilia mahojiano yako na Waziri Makamba, Waziri Nape na Mwenyekiti wa ACT wazalendo mzee Duni kwa nyakati tofauti. Nikiwa mdau wa BBC Dira ya Dunia nitafarijika...
Aidan Eyakuze, Mkurugenzi Mtendaji wa TWAWEZA wakati wa uzinduzi wa utafiti mpya wa Sauti za Wananchi, Agosti 25, 2022.
Matatizo makubwa matatu yaliyotajwa kuwasumbua zaidi wananchi kwenye kaya...
Ndugu zangu naomba niwataarifu kuwa Sensa ya Watu na Makazi 2022 itahusisha madodoso manne:
1: Dodoso la Jamii
2: Dodoso la Sensa ya Watu na Makazi
3: Dodoso la Makundi Maalum
4: Dodoso la Majengo...
Kama italazimu kupata Waziri mwingine wa Fedha badala ya Mwigulu Nchemba basi mmja wapo Kati ya David Kafulila almaarufu tumbili au Zito Kabwe wa ACT Wazalendo can make a good choice,huu ni...
Waziri wa Tehama mh Nape amesema Serikali ya awamu ya 6 ni sikivu ndio sababu kilio cha Tozo kimesikilizwa na kushughulikiwa
Nape alikuwa anajibu swali la Salim Kikeke wa BBC aliyetaka kujua...
Waziri Mkuu Achangisha Bilioni 1.2 Serengeti Girls, Tembo Warriors, Asifu Ubunifu wa Wizara ya Michezo
Na John Mapepele.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa...
Agosti 23, 2022 tunatarajia kuwa na zoezi la sensa ya watu na makazi. Zoezi muhimu katika mipango ya sera na maendeleo ya Taifa.
Hata hivyo mwaka huu tumeona matangazo yamekuwa mengi sana hadi...
Nachelea kumpongeza huyu kwa sababu alikana Uraia wa Nchi yetu Kwa kupata tuzo ya MBE (The Most Order of British Excellency) ya Malkia Elizabeth.
Hawa watoto wa vigogo wako wengi Sana...
Rejea headline ya Raia Mwema ya tarehe 24 August, 2022. Deus Kakoko alikuwa "Untouchable" kipindi cha Magufuli kutokana na kuwa msiri wake tangu akiwa Regional Manager wa TANROADS enzi za awamu ya...
Mh Godbless Lema ambaye anatajwa pia kama miongoni mwa Manabii wa Mungu walioletwa Tanzania kwa makusudi Maalum , Amenukuliwa huko Twitter akipinga POLISI KUFANYA KAZI KWA MATAKWA YA SIMBACHAWENE...
Wasalaam,
Akiendelea na ziara yake jijini Mbeya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan ameendelea kusisitiza uwajibikaji kwa viongozi wote wa Serikali kuanzia yule wa...
Kila kona ni kilio cha Tozo kiasi kwamba Watu hawaelewi kinacholiliwa ni nini hasa
Binafsi najiuliza Chadema hujinasibu kuwa wao ni watetezi wa wananchi, je huwa wanatutetea kwenye mambo gani...
Yule kijana aliyelianzisha juzi kati na kuwatukana Polisi kila aina ya matusi ni mfanya biashara.
Niliwahi kusema watawala nchi hii wanaandaa watoto wao kuja kututawala na kikubwa kabisa...
Salaam Wakuu,
Bajeti ya Serikali imepangwa kusomwa leo saa 1600 na Waziri Mwigulu, Waziri mwenye dhamana ya Fedha.
Nini Matarajio yako au Unategemea nini kwenye bajeti itakayo somwa leo?
1...
Ujinga, uzoba, uzumbukuku na upumbavu vinaongezeka kwa kasi sana nchi hii. Matatizo haya manne yameathiri watu wengi sana bila kujali elimu zao, nafasi zao au vipato vyao.
Kwa ongezeko hili na...
Waswahili wanasemaga kuwa ubaya hauna kwao.
Huu hapa ni ushahidi kutoka kwa mzee wetu Mrama kabla ya kukutwa na umauti.
Naomba tuyasikilize juu ya ubaya wa ccm pamoja na mapungufu yake yote lkn...
Mkuu wa mkoa wa Kagera mh Albert Chalamila amewataka Wananchi kwa ujumla kuvaa mavazi ya staha Wakati wanapowapokea makarani wa Sensa.
Chalamila amesema ameona baadhi ya picha kwenye Mitandao ya...
Kwa lugha rahisi tu wananchi sisi ndio wenye nchi na huyu Mwigulu Nchemba na mama sisi ndio mabosi wao, sisi siyo vijakazi wao hili lieleweke dhahiri shairi.
Kwakuwa ugumu huu wa maisha hauchagui...
Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Wanawake na Makundi Maalum, Dorothy Gwajima ametoa onyo kwa baadhi ya wafanyabiashara wakubwa wanaowatumia Wamachinga wadogo kuuza bidhaa zao ili kukwepa...
Hakuna mtu anayeweza kuhoji umuhimu wa sensa. Wakristo wanakumbuka, kwa kadiri ya maandiko matakatifu ya Biblia, Mama Maria na Mt. Joseph walienda Betlehem kwaajili ya sensa, ni katika tukio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.