Wanabodi,
Siasa ni ubunifu, siasa ni kujiandaa kwa mbinu zozote ulizo nazo kuwa na utandawazi nchi nzima katika pilika za kuwateka akili wananchi, kushinda uchaguzi na kuhakikisha kwamba maoni...
HAI YA KILIMO NA VIWANDA ALIYOTUAHIDI SAASHISHA MAFUWE IMEANZA KUONEKANA AU NI SIASA ZA MSIMU?
Anaandika Saitabao OleKina, Mkazi wa Kijiji cha Mtakuja
Mwaka 2020 ulikuwa ni mwaka wa kashikashi...
Hii ya akina Halina Mdee na wenzake kuapishiwa wapi sijui ni cha mtoto.
Yule Chebukati anadai alifuatwa na wakuu wa "vyombo" ili abadilishe matokeo lakini alikataa na akamtangaza mshindi halali...
Katiba mpya yaja na hili sio jambo geni wala la kubahatisha tena. Tumetoka mbali na tumepitia mengi mabaya na mazuri ya kushangaza na ya kuleta matumaini pia. MOJA LILILO WAZI ni kwamba KATIBA...
Natafakari tu baada ya kuwaangalia kwa makini hawa akina mama wa Chadema Halina Mdee na wenzake pale mahakamani jana
Hawa akina mama ni kana kwamba hawajui kinachoendelea kadhalika hawajui hata...
Leo ile kesi ya waliofukuzwa chadema ya Halima na wenzake ilikuwa inaendelea. Mawakili wa chadema waliiomba mahakama iwaite kina Halima na wenzake ili wahojiwe na mahakama ilikubali na kuwaita na...
Aliyewahi hojiwa kuhusu tozo afanye kama anajikuna hivi atoe uthibitisho. Mimi nasikia tu wananchi tuko tayar kulipa tozo ila sijawahi kuona nikihojiwa kuhusu tozo hizi ili nitoe maoni yangu...
Msingi wa kodi, tozo au ushuru ni mapato. Kutokana na mapato uliyoyaingiza, sehemu ya hayo mapato, wewe uliyeingiza unastahili kutoa sehemu ya hayo mapato kama kodi, ushuru, tozo au jina jingine...
Bunge letu lishaonesha ni kibogoyo, haliwakilishi wananchi, halisimamii serikali, bunge linalopitisha bajeti bila kufikiri ya kesho.
Hasira zetu tuelekeze kwa wabunge, maana bila wao yatokeayo...
Pongezi nyingi zikufikie popote ulipo CAG zanzibar,unaipenda kazi yako,umefanya kazi yako kwa weledi.
Umewasilisha ripoti ambayo kama Rais Mwinyi ataamua kwa dhati kuifanyia kazi tunategemea...
Mwezi March nilienda nchini Somalia kikazi chini ya Shirika la Umoja wa Mataifa liitwalo Internation Organization for Migration.
Ili kufupisha maada. Nilichokishuhudia huko nchini Somalia...
Rais Samia Suluhu Hassan, leo Agosti 27, 2022 amefanya uteuzi kwa kumteua Peter Ilomo kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Taifa ya Uongozi ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF).
Llomo ni Katibu Mkuu...
Wakuu
Kuna wakati ili tuendele tunahitaji ujasiri wa kusimama, lakini si kwa kutoa majibu mepesi, bali majibu ya maswali magumu yakiwa majawabu huru. Tutoe majibu huru yasiyokuwa na harufu ya...
Kuna mwenye masikio mazima ambaye hajayasikia manung'uniko ya wananchi? Au basi hata yupo mwenye kutokujua ni nini kinachohitajika kufanywa hadi sasa?
Si tulidhani labda wanasikia nusu nusu...
Habari ndugu wadau.
Mimi nimehesabiwa jana.Lakini nilichokiona kwa karani na taarifa tulizompatia haikuchukua ata dakika 5 na tulikuwa kaya ya watu 9.
Sasa nikajiuliza hii ndo kazi watu...
Peter Kibatala, Wakili anayemtetea Jonas Afumwisye, aliyekuwa Ofisa wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) amesema, mtumishi huyo aliyefukuzwa kazi, amekamatwa na Jeshi la Polisi, Kanda Maalum ya Dar...
Take home msg ni hii:
1. Job Ndugai asilaumiwe
2. Tulia Ackson asilaumiwe
3. Alaumiwe anayewalipa mshahara, ambaye ni Rais.
Msikilize, jibu hoja zake kwa hoja, achana na character assassination...
Waziri Makamba, huku mkoani (mkoa kapuni kwa Sasa) wememaliza gesi ulio waletea. Sasa wanataka wajue wanaenda kujaza wapi?
Wengenine hawana hela ya kujaza geti.
Mnawasaidiaje?
Waziri wa nishati january makamba aligawa mitungi ya gesi kwa kigezo eti wananchi inatakiwa waondokane na mkaa kwa ajiri ya utunzaji mazingira na mitungi hiyo ililenga kwa watu wa vijijini lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.