Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,377
- 15,893
Rais Samia Suluhu Hassan, leo Agosti 27, 2022 amefanya uteuzi kwa kumteua Peter Ilomo kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Taifa ya Uongozi ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF).
Llomo ni Katibu Mkuu Mstaafu, anachuka nafasi ya Dkt. Moses M. Kusiluka ambaye amemaliza kipindi chake.
Amemteua Mwantumu Bakari Mahiza kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Uratibu wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali. Bi. Mahiza ni Skauti Mkuu Tanzania.
Pia, soma: Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson Msigwa atolewa Ikulu, Dotto James ahamishwa. TPA, TCRA na TRA zapata wakuu wapya