Waziri wa nishati january makamba aligawa mitungi ya gesi kwa kigezo eti wananchi inatakiwa waondokane na mkaa kwa ajiri ya utunzaji mazingira na mitungi hiyo ililenga kwa watu wa vijijini lakini...
Marais Wastaafu Dkt. Jakaya Kikwete wa Tanzania na Joaquim Chissano wa Msumbiji kwa pamoja wameungana na Timu mbalimbali za Kikanda na za Kimataifa za Waangalizi wa Uchaguzi wa Angola kutoa tamko...
Ndugu zangu wanajamvi imeninibidi niwajulishe haya ninayoyaona huku kijijini kwangu mwagiligili wilaya ya kwimba, wananchi wanatabasamu lakini wakitokwa machozi mioyoni.
Kilio kinasikika TOZO...
Wananchi wanaunga mkono Vipaumbele vya Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu, Vipaumbele hivyo ni;
Vituo vya Afya
Kilimo
Maji
Usafiri na Usafirishaji
Elimu
Ajira
Usalama wa...
God is us again 😄 ili ionekane Kadogosa ako sahihi kwa habari za chini huyu bwana anapangiwa zengwe apewe mashtaka tofauti ikiwezekana hata ya Uhujumu Uchumi ama matumizi mabaya ya nafasi. Mama...
HATUTAKI AKOPE! WALA HATUTAKI TOZO!
Anaandika, Robert Heriel
Nikiwashauri tuvamie mataifa mengine mnaniona Popoma! Mnaona siwezi kufikiri vizuri! Sawa bhana! Ipo siku mtanielewa hata Kwa...
Kabla sijaanza kueleza ni kwa namna gani Watanzania watanufaika na mkopo wa shilingi trilioni 2.4 kutoka Shirika la Fedha Duniani, kwanza ifahamike kwamba hakuna nchi duniani ambayo haikopi, nchi...
Mbunge wa Geita Vijijini Mh. Dr Joseph Kasheku Msukuma amesema leo ataongea na waandishi wa habari kutolea ufafanuzi sheria ya tozo na makato ya benki
Dr. Msukuma amesema, kumekuwa na malalamiko...
Rais wa mchezo wa Bao Mzee Mande Likwepa ameshangaa zoezi la Sensa kuchukua Siku saba ilihali teknolojia inayotumika ni ya Juu kabisa
Likwepa amesema zoezi hili lina kila dalili ya uwepo wa...
Kuna malalamiko yanayoripitiwa kutoka sehemu mbalumbali hapa nchini kuhusu usalama wa makarani wa sensa ama vishikwambi wanavyotumia katika kufanikisha zoezi hili. Kuna taarifa zipo kutoka sehemu...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema hawataki kuwadhibiti wanahabari bali kuwawekea mazingira bora ya kufanya kazi.
Kauli hiyo ameitoa wakati akifanya...
Kuna thwawabu kubwa kwa wote wasimamao kuipigania haki kwa ajili ya wote. Kwa maana njia hiyo si kila mtu anaweza kuipita.
Njia hii si lazima kwa kila mtu kuipita. Waipitao njia hii ni wale tu...
Wabunge wa viti maalum akiwemo Halima Mdee na wenzake leo Ijumaa wamefika katika Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam kuhudhuria kesi waliyoifungua mahakamani hapo ya kupinga kuvuliwa...
Moja ya kitu nilifanya enzi za usajili wa Laini za simu sikubali kusajili laini nikiwa wa kwanza nilikataa maana kipindi hicho kulikuwa na jamaa mmoja napiga nae ishu hatari sana.nikaona...
Ila huyu jamaa ni kichwa sana, mama akimrudisha kwenye uwaziri halafu akaunganika na makamba, Nape, mwigulu itakuwa combination ya hatari sana, Tanzania tuna bahati sana kwa kweli kuna nchi...
Mimi kama Mtanzania Naomba kutoa ushauri mdogo Kwa Rais wangu na serikali Kwa ujumla
Kwanza mheshimiwa Rais anafanya kazi mzuri, anaonekana ana ndoto mzuri Kwa tanzania na vision mzuri ya kuleta...
Serikali imeonya kuwa takwimu zilizotolewa na TWAWEZA kuhusu utafiti wa hali ya uchumi wa taifa na tozo za miamala ya kielektroniki zinasalia kuwa zisizo rasmi.
“Matokeo hayo ni yao (Twaweza) na...
TAARIFA KWA UMMA
UFAFANUZI KUHUSU KODI YA PANGO
Dar Es Salaam, 25 Agosti, 2022:
Mamlaka ya mapato ya Tanzania (TRA) inapenda kutoa ufafanuzi kuwa Kodi ya pango hulipwa kama Kodi ya zuio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.