Nimeona taarifa ya Habari jana huko Kenya wakati kuwa Wafula Chebukati na tume yake walifuatwa na jopo toka ngazi za juu ikiongozwa na Naibu Mkuu wa Majeshi Bwana Ogolla akiongozana na IGP Joseph...
AMEANDIKA:
BABA ASKOFU EMMAUS BANDEKILE MWAMAKULA.
USALAMA WA MAISHA YA LISSU UKO HATARINI, AKIMBILIA KUPATA HIFADHI KATIKA UBALOZI WA UJERUMANI JIJINI DAR ES SALAAM!
Jana tarehe 5 Novemba 2020...
Kassim Majaliwa Majaliwa waziri mkuu wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania anadhani ataoverstay kwenye madaraka hayo mara ya tatu tena endapo Samia atapora ushindi nakufanikiwa kuingia madarakani...
Kwa kifupi tu! Siuoni mkakati wowote wa kukabiliana na wimbi la njaa mwaka huu na dalili zote zinaonesha hakuna akiba yoyote ya chakura na Wala hatusikii mpango wowote wa tafadhari kunusuru Hali...
kwanza kabisa nianze kwa kusema hakuna siasa zinazoua nchi kimaendeleo kama siasa za kujaribu kunufaisha wanyonge na kulazimisha usawa wa kiuchumi. Ila bahati mbaya kwa Africa, 'marais wa...
Amani iwe nanyi wana bodi.
Hongereni na mapumziko ya mwisho wa wiki.
Leo napenda kutoa uchambuzi wangu kuhusu Baraza la Mawaziri ambalo ninatamani Rais wa Awamu ya 6 aanze nalo kama Baraza lake...
Mzee Wassira anasema Tume Huru siyo muundo wa taasisi bali ni ule uadilifu wa Watu waliomo ndani ya Tume
Mzee Wassira anasema pamoja na kiongozi wa Waangalizi wa Jumuiya ya Africa mashariki...
Utawala wa Tanzania kwa ujumla kwa Sasa tunaweza sema ni matokeo ya Muungano tulio nao.
Rais Samia ni zao la Muungano na katiba ya Tannzania ya Sasa kinyume chake Tanzania Sasa hivi tungekuwa na...
Kwa mtu yoyote asiyehusika moja kwa moja na hii vita lazima atakuwa ana upande wake wa kushabikia. Ila jambo moja la wazi na pasi na shaka hii vita imekwamisha ustawi wa Uchumi wa Dunia nzima na...
Hapa ndipo unapoona safari ya ukombozi wa kifikra kwa watanzania ni ndefu sana.
Toka juzi kuna barua imekuwa ikitembea kuhusu kutumbuliwa kwa meneja wa TRC kwa sababu ya mambo ambayo mengi...
Rais wa Zanzibar Mh Dr Shein amesema kabla hajamaliza muhula wake wa uongozi atahakikisha sheria ya kuwatambua Wazanzibari (Watanzania wanaoishi nje ya nchi inakuwepo).
Pia Msemaji wa Zanzibar...
Hizi ndiyo zile nchi sasa akiziita Trump lile jina letu pendwa. Mola akawalinde ma commissioner hawa waliosimama imara na katiba ya nchi.
Yale yale ya kura pigeni mnakotaka ila washindi...
Serikali makini zinazotambua wanaunda serikali kuongoza watu wanaojitambua huzingatia uzoefu mkubwa kwa viongozi wanaowateua, hasa sekta nyeti. Tazama baraza la Marekani, ni uzoefu mtupu...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Eliezer Feleshi amesema hatarajii kumuona wakili wa Serikali akiwa amevaa mkufu mguuni.
Jaji Feleshi alisema hayo wiki hii jijini hapa, alipozungumza na...
Wadau nawasalimu!
Je, ile kesi ya kugombea kiwanja kati ya Paul Makonda na Bw. Ghalib wa GSM iliyogonga vichwa vya watu wengi iliishia api na nani aliibuka mmiliki halali?
Mbunge wa Geita Vijijini mh Kasheku amesema Tozo walizipitisha wao bungeni na zitaendelea kuwepo kwa sababu zina manufaa makubwa
Msukuma amesema Tozo zimeasisiwa na hayati Maguful kupitia bunge...
MDAU WA DIASPORA AJIBU MASWALI KUHUSU DARAJA LITALOJENGWA KUTOKA DAR HADI ZANZIBAR.
Leo 19:15pm,28/12/2019
Kutokana na Mgongangano wa mawazo ili Watanzania tufikie lengo kuu lenye kuleta...
Katika kujenga Tanzania ya Viwanda tunatoa ombi sisi wana diaspora tuhusishwe kikamilifu kutoa ushauri na nguvu kazi maana tuna exposure ya kutosha kuliko wala vumbi walio wengi wanaowaza kuiba na...
Wadau wa masuala ya uchumi wamesema tozo za miamala ya benki na simu zitawarudisha wananchi kwenye mifumo ya zamani ya kutembea na fedha taslimu.
Hayo yanajiri wakati asilimia 75 ya wananchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.