Tuibe kwa staha, heshima, Nidhamu na tuibe kwa kujisitiri sisi na tuisitiri mamlaka, Baadae tutafanya toba na kusamehewa na wananchi na hii inaitwa" STOLEN CAPACITY". The maximum amount of loss...
Usipokuwa na malengo na maono ya mbali utaishia kujadili maisha ya wana ccm na wanasiasa mpaka uzee wako huku hakuna faida unayopata zaidi ya kutengeneza duara la umaskini Katika familia yaani...
RAIS SAMIA ANAVYOIVUTIA KASI VIETNAM, KOREA KIMAENDELEO,
Mhe Mkuu wa Mkoa wa Simiyu David Kafulila anasema,
Ujenzi wa Chuo cha VETA Simiyu ni moja kati ya vyuo 25 anavyojenga Mhe Rais Samia...
Watu wengi wamekuwa wakichukua gharama zote za kutuma au kutoa fedha kwenye miamala ya simu kama ndio tozo. Ukweli ni kwamba makampuni ya simu yamekuwa yakitoza ada kubwa saana kwenye kutoa au...
Nawasalimu kwa jina la JMT
Watanzania ni watu wakulalamika Kila kitu. Hawana jema Wala shukrani kwa kweli.
Ninasikitishwa sana na matusi, kejeli na majina ya hovyo hovyo anayopewa AMIRI JESHI...
Ukienda Law School Tanzania kwenye vyuo kuna wanawake wengi wanafanya vizuri sana. Lakini hata ukienda kwenye kampuni nyingi kubwa kuna corporate lawyers wazuri sana wanawake.
Kuna majaji wengi...
Nianze kwa kusema kwamba hatua alichukua waziri mkuu nikuwakumbusha kwamba fedha za umma hazichezewi kama watakavyo tayari rungu limemfikia aliyekuwa mkurugenzi Arusha JOHN PIMA Mrisho Gambo...
Wanabodi
Shuhudia sensa live kupitia TBC, nimeshuhudia live, citizen No. 1, Rais wa JMT, Rais Samia Suluhu Hassan akihesabiwa toka katika makazi yake rasmi ya kiserikali Ikulu ya Chamwino...
Habari!
Nilileta Uzi hapa kuonesha matumizi mabaya ya serikali, au niite matumizi yasiyo na msingi.
Semina ya sensa wiki tatu ilikuwa haina ulazima. Siku 3 tu zingetosha. Sasa ngoja nitoe mfano...
Nimejaribu kuangalia uchumi wa dunia na Tanzania nikaona yafuatayo;
•Uchumi wa Dunia umeyumba kutokana na Corona na vita vya Ukraine.
•Uchumi wa Tanzania ambao unategemea wahisani na mapato ya...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) amefanya ziara ya kikazi Nchini India kufuatia mwaliko wa Waziri wa Ulinzi wa India, Rajnath Singh.
Hii ni ziara yake...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro ametupilia mbali ombi la upande wa utetezi walilolitoa Agusti 12, 2022 wakiomba mahakama hiyo iwaachie huru, aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai...
President Jakaya Mrisho Kikwete chats with Cable News Network (CNN) 's Richard Quest and Maggie Lake when he visited CNN Studios at the Time Warner Cente in New York.
CNN is an American basic...
Wakati kazi ya sensa ikitarajiwa kumalizika leo, baadhi ya viongozi wameendelea kueleza changamoto katika kufanikisha kazi hiyo.
Changamoto hizo ni wizi wa vishikwambi, kukosekana mtandao kwenye...
Just Iam kidding
Hivi kuna ubaya gani wabunge wakawa wa mfano kujipunguzia posho zao kwa siku kutoka kulipwa posho zaidi ya TZS 250,000 kwa siku wakalipwa TZS 25,000 kwa siku kuonyesha vita ya...
Wanabodi,
Tumeshuhudia nguvu iliyotumiwa na serikali katika kuhakikisha kwamba kuna tozo kwenye miamala ya kielektroniki inayofanywa na wananchi. Hii inaweza ikawa njia ya serikali kutanua wigo...
Yawezekana Tundu Lissu ndio mgombea Urais maarufu kutoka chama kikuu cha upinzani barani Afrika aliyepata kura chache sana.
Naangazia Angola mgombea wa upinzani kapata 43% na tume huru ya...
Wanabodi,
Makala ya leo ni Swali
Sensa za nyuma tulihesabiwa ki analogia na ilichukua siku 1 tuu, sasa tunahesabiana kidigitali inachukua siku 7! Could there be something wrong somewhere?! Leo ni...
Baada ya joto la Tozo kuendelea kuwa kubwa kumeibuka uongo mpya sasa wa kuwatetea walamba asali a.k.a Honey Badgers kuwa nchi ilikuwa imefilisika kabisa.
1. J.P.M na ubaya wake na madhaifu yote...
Aliyekuwa Rais wa Iraq Saddam Hussein, alibambikiziwa kesi na mabeberu ya kuwa na silaha za maangamizi. Hivyo, mabeberu walifanya njama na ikampasa Saddam Hussein kuuawa na ikawa hivyo. Baadhi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.