Kwakuwa tumedhamiria kukamua Kila Senti, kama ilivyo kwa Daraja la Kigamboni na lile la TanZanite, nashauri Mchungaji, Dr Mwigulu Nchemba aanzishe TOZO ya kupita Daraja kubwa, jipya, zuri la WAMI...
Nilikuwa nawaza tu kwa sauti (just thinking aloud):
"Kuna kama kusua sua kwa zoezi hili la sensa ya watu na makazi kwenye baadhi ya maeneo. Kuna uwezekano baadhi ya kaya zisiweze kufikiwa ndani...
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla amesema watazitumia vizuri siku zilizo ongezwa kwenye Sensa ili wasitoe takwimu za uwongo.
Makalla amesema asilimia 10 hadi 13 ya Watanzania wanaishi...
Kiukweli sijajua wanaomsifia huyu mtu wanatumia vigezo gani;
1. Baada ya kulipa bili ya kuonganishiwa maji itachukua hata nusu mwaka kuungishiwa bomba mpaka mitaro inajifukia(mabomba wanasema...
Waziri Bashe alitangaza nia ya Serikali kupitia Wizara ya Kilimo juu ya UKOMBOZI wa wakuliwa kupewa mbolea za RUZUKU.
LENGO lilikua zuri changamoto kubwa ipo katika mambo mawili.
1.Usajili wa...
Sekta ya nishati ni vigumu mno kunyooka ikiendelea kuongozwa na mtu laini na legelege mfano wa January Makamba.
Ukweli usemwe tu Rais Samia alizingirwa na maharamia yaliyomshawishi ampe huyo...
Habari zenu wadau wa JF siasa.
Hali ni tete nchini, ndivyo unavyoweza kusema. Amini usiamini, Mbunge wa Kisesa Mh Luhanga Mpina atagombea Urais kupitia chama Kikongwe Cha upinzani 2025
Mpango...
Afande Mtafungwa kwa Rais Samia kulalamikia idadi ya ajali kuongezeka nchini nakushauri omba hata likizo ya ugonjwa ili uepuke fedheha ya kutenguliwa.
Vinginevyo, wiki hili halitaisha lazima...
Kuna mabadiliko makubwa yanaendelea huko duniani na kiukweli CCM peke yake haitaweza kuyakabili itahitaji ushirikishwaji wa vyama vingine hasa Chadema na ACT wazalendo
Niombe tu Serikali...
Ndugu zangu Nazani mmewahi kusikia Kuna swali linaulizwa iwapo kiongozi Bora anazaliwa au anatengenezwa, Ndugu zangu ukimfuatilia mh Rais mama Samia suluhu Hassani Tangia wakati ule wa bunge...
Wakurugenzi wa Halmashauri ndio mikono ya Tume ya Uchaguzi hapa nchini, yaani NEC analishwa na DEDs, kimsingi DED ndio NEC.
Siyo siri kwamba baadhi ya Wakurugenzi ni makada wa CCM na wengine...
Moja kati ya mambo yanayofanya uongozi wa nchi yoyote upendwe ni jitihada za wazi za kustawisha maisha ya wananchi, kutatua kero zao na kutekeleza maono yenye dhamira njema na maisha ya watu...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amelionya jeshi la Polisi nchini kutotumia wadhamini kufanya vikao kazi na badala yake Jeshi hilo lijitegemee na vikao vyake...
Kwenye hotuba ya Mama lao Pale Mosjo anaonekana kulalmikia Jeshi la police hasa kwenye upigaji wa pesa, inavyo elekea wanapiga sana pesa za umma, na hizo ndio hizo hizo tozo tunazo tozwa.
Hio...
Sensa ilipoanza nilisema walioandaa sensa hawajawahi kushiriki sensa, hii ilitokana na aina ya maswali yakiwemo ya uchuro, yaani umewahi kufiwa humu ndani.
Leo nimeulizwa namba ya mita ya umeme...
Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi 2022, Anne Makinda amesema asilimia 93.45 ya kaya zote Tanzania zimehesabiwa hadi kufikia leo Jumatatu Agosti 29, 2022 saa 2 asubuhi.
Makinda amesema hayo...
Takwimu za Wagonjwa wa Kipindupindu Nchini Tanzania kuanzia Januari 2022 hadi Agosti 2022 ni visa 519 ambapo kati yao 11 wamefariki Dunia, Mikoa ya Katavi, Rukwa na Kigoma ikitajwa kutoa wagonjwa...
Nimezikumbuka hizi kambi zilizowahi kutokea katika Tanzania na Kule Kenya.
Kwa hapa Tanzania tunaelewa ni namna gani harakati za kupata madaraka zilivyoendeshwa na kambi ya Jakaya pamoja na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akifungua Kikao Kazi cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi Makao Makuu, Makamanda wa Polisi wa Mikoa / Vikosi katika Shule ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.