Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

CCM YAPONGEZA JITIHADA ZA RAIS SAMIA KUIWEZESHA DIT KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema Chama Cha Mapinduzi kimeridhishwa na hatua...
0 Reactions
3 Replies
842 Views
Habari! Sasa ni wakati muafaka wa kuachana na misaada kutoka nje, maana nao huko kwao hali ya uchumi imekaza. Misaada inashusha heshima, mtu anayekusaidia hata akiongea upuuzi lazima ucheke ili...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Nawasalimu kwa jina la JMT. Tanzania na Kenya hazitonufaika na msamaha wa kufutiwa mikopo na riba uliotangazwa na China kwa nchi 23 maskini za bara la Afrika(LDCs). Kwa mujibu wa mamlaka za...
5 Reactions
35 Replies
2K Views
Hapo vip!! Binafsi nikiangalia huko na kule ndani ya CCM sioni kiongozi mwenye sifa ya kumzidi Lowassa mpaka sasa. Ni wazi watanzania bado tuna kiu na Lowassa atawale nchi hii. Wengine watasema...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Tozo gani hizi ambazo zinapingana na misingi madhubuti ya kukusanya tozo na kodi. Kodi gani ambayo haina huruma kwa raia wanyonge kama kukatwa miamala ya simu na kutoa pesa benki? Huku ni...
8 Reactions
27 Replies
1K Views
Rais Samia amelitaka jeshi la magereza kuwarekebisha tabia wahalifu walioko magerezani kwa kuwa sio wote walioko magereza ni wahalifu waliokubuhu. Ambapo amesema, kushindwa kuwarekebisha tabia...
6 Reactions
20 Replies
3K Views
mfumuko wa bei doble taxation hapa anawakamua sana wananchi, madhara yake ni kupungua mzunguko wa pesa, uzalishaji deni la taifa limeongezeka kwa zaidi ya asilimia 10
11 Reactions
41 Replies
3K Views
Rejea kichwa tajwa hapo juu Mimi binafsi natamani CCM iondoke madarakani. Lakini wakuiondoa ni Akiwemo Mdude? Chadema jifunzeni. Hawa wajinga wataharibu image yenu mliyoijenga kwa muda mrefu...
11 Reactions
178 Replies
9K Views
Hizi siasa za kiongozi fulani anamiliki kitu fulani ni za kizamani enzi za CCM ya Ujamaa. Kuna wakati ilivumishwa Mzee Cleopa anamiliki mabasi ya Rombo Investment na wengine wakadai Mwanamboka...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Taarifa sahihi ndio msingi wa umoja na mshikamano, kama Taifa tunahitaji kila Mtanzania apate taarifa sahihi kutoka katika vyanzo sahihi. Serikalini katika kila wizara, halmashauri au taasisi...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Ndugu zangu ,muunganiko wa Mh mama Samia suluhu Hassani Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania pamoja na Dr Hussein Ali Mwinyi Rais wa Zanzibar umejenga Taswira ya kipekeee ya kiuongozi na namna...
2 Reactions
54 Replies
3K Views
Aliyefukuzwa TRC apekuliwa na polisi Summary Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limefanya upekuzi nyumbani kwa aliyekuwa Meneja Dar es Salaam. Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Leo waziri Biteko gavana wa benki kuu ndg Luoga, wakuu wa mikoa ya Manyara na Kilimanjaro pamoja na viongozi wengine walikua mererani kwaajili ya makabidhiano ya mawe mawili ya tanzanite yenye...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Makamu mwenyekiti wa ADC mh Shaban Itutu amesema ni vema waziri Mwigullu Nchemba akaachana na mambo ya Tozo na Makato ya benki kwani ni kuwatesa bure Wananchi Itutu amesema hauwezi kuongeza wigo...
1 Reactions
9 Replies
768 Views
Mwenyekiti CCM wilaya Shinyanga Mjini, Bwana Abui, unamchafua na unatumia jina la Mh. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano vibaya kwa maslahi ya nani? unaeneza siasa za udini kwamba Mwk...
3 Reactions
5 Replies
973 Views
Malaika Mkuu Mikaeli ndio hutusaidia wanadamu kumpiga vita shetani na kutupa ulinzi wa uhakika, Gablieri hutuletea taarifa za mbinguni na Raphael hutusimamia katika uponyaji. Magufuli alichagua...
2 Reactions
14 Replies
798 Views
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ORODHA YA MASWALI YA SENSA YA WATU NA MAKAZI YA MWAKA 2022 Maswali yote ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 yanatakiwa kujibiwa na Mkuu wa Kaya husika...
11 Reactions
66 Replies
11K Views
Hiyo ni kwa mujibu wa Kenyans.co.ke walioweka swali kupitia ukurasa wao wa Twitter kwamba "Je, iwapo Afrika Mashariki ingeongozwa na mmoja wa marais wanne walio madarakani, nani angefaa?" Mpaka...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Rais Samia amesema ilibidi ateue majaji 42 lakini kutokana na hali ya uchumi amelazimika kuteua majaji 22 wa kuanzia. Amesema hali itakapokaa vizuri atateua zaidi kwa kadiri ya uhitaji. Ameyasema...
0 Reactions
1 Replies
774 Views
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufungua Kikao Kazi cha Maofisa Wakuu wa Jeshi la Polisi Tanzania kitachofanyika katika Shule ya Polisi, Moshi mkoani Kilimanjaro. Kikao hicho cha siku tatu...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom