GUSSIE
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,866
- 11,100
Just Iam kidding
Hivi kuna ubaya gani wabunge wakawa wa mfano kujipunguzia posho zao kwa siku kutoka kulipwa posho zaidi ya TZS 250,000 kwa siku wakalipwa TZS 25,000 kwa siku kuonyesha vita ya Ukraine na Urusi imeathiri uchumi wetu
Mawaziri nao wakaamua kutumia IST au RAV 4 kama usafiri kukwepa mafuta na hata wale manaibu wakatumia boda boda ili kuonyesha kweli uchumi wetu ni mbovu na vita vimetuathiri sana vya Ukraine na Urusi
Wabunge ambao ni Mawaziri kwanini wasiamue Waache mshahara aidha wa ubunge au uwaziri, Wapokee mshahara mmoja wapo tu kuonyesha uzalendo
Note:
Hizi hoja naongea hapa JF, Bungeni ukiyaongea haya utasababisha vita ya maneno mpaka watu kukufuata unakoishi kukuomba uiondoe hoja mezani na uonyeshe wabunge wana kazi nyingi na wanahitaji pesa nyingi