Ukienda Law School Tanzania kwenye vyuo kuna wanawake wengi wanafanya vizuri sana. Lakini hata ukienda kwenye kampuni nyingi kubwa kuna corporate lawyers wazuri sana wanawake.
Kuna majaji wengi wanaume tumeona maamuzi yao yanabatiliwa na mahakama ya rufaa. Hivyo tuna majaji wengine ambao sio makini.
Sasa sielewi kwanini kila siku wanachaguliwa majaji wanaume?
1. Je, ni kweli wanachaguliwa ndiyo wanasheria makini kuliko wote?
2. Je, ni vigezo gani hasa wanatumia kuchagua majaji
3. Je, tuna uhakika kwamba majaji wanachaguliwa kwa kuzingatia uwezo na sio utamaduni?
4. Je, haki hasa za wanawake zitazingatiwa vipi kama hatuna uwakilishi wa majaji wanawake.
5. Je, kama kuna mapungufu yapo kwa wanasheria wetu wanawake ni yapi na kuna vitu gani tunafanya kutatua hayo mapungufu?
Mimi ni mwamini wa vipaji lakini siamini kabisa kwamba majaji wana chaguliwa kwa uwezo pekee nafikiri utamaduni dume wetu unachangia. Hizi tamaduni ndizo zinatuletea vilaza. Majaji tunatakiwa kuweka vipanga wetu tu