Tunakumbushana tu kwamba serikali ya awamu ya 5 ndio iliufikisha uchumi wa nchi kwenye Kiwango cha kidogo cha Kati
Na pia Rais wa JMT awamu ya 6 ilimpendeza kumteua Waziri wa fedha wa awamu ya 5...
Heko wadau..
Rais wa Tanzania mh.Samia Suluhu Hassan anajenga Tanzania ya viwanda kwa vitendo na bila makelele ..
Kwa mda mfupi Sana amevutia maelfu ya wawekezaji katika maeneo mbalimbali...
Wasalaam,
Hebu pitia video hizo zote then njoo u-comment,Huyu kijana naona anastahili nafasi ya juu hapo baadae, Je, Wewe unaonaje?
===
Tazama, huu ni usiku ila vijana wanagoma kumruhusu kijana...
Zoezi la sensa linaelekea ukingoni huku baadhi ya wananchi wakidaiwa bado hawajafikiwa na makarani kuhesabiwa.
Nionavyo mimi, mkuu wa wilaya mwenye kuyajua na kufahamu majukumu yake vyema...
Nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano wa Tanzania.
Najua humu kuna watu mbalimbali na wenye maono mbalimbali.
Swali langu ni kwa nini serikali inaogopa kuleta katiba mpya.
Naomba kuwasilisha.
WanaJamii, heshima kwenu.
Kumekuwa na minong'ono mingi na miluzi kibao from opposition die hard fans kufuatia jemedari mkuu Rais John Magufuli kumuapisha Mh waziri Mwigulu Nchemba mjini Chato...
26 August 2022
Tunis, Tunisia
MKUTANO WA TICAD
Mh. Kassim Majaliwa yupo mjini Tunis akimwakilisha rais wa Jamhuri ya Muungano ktk mkutano wa TICAD
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa akipokewa na...
Waziri Simbachawene amewashauri maaskofu wawahimize Waumini wao wafanye Kazi kwani Biblia inasema.asiyefanya Kazi na asile na mtu asipokula maana yake afe
Simbachawene amesema hayo katika sherehe...
Bwana mkubwa aliposema hawezi kuongeza mishahara kwasababu kuna mambo anafanya tafsri yake ni kuwa yako mambo mengine mengi yatasitishwa ili kugharamia hii miradi mikubwa ya SGR, ununuzi wa ndege...
Habari,
Niende kwenye mada, kama kichwa cha habari hapo juu, Ninaweza kusema kwamba waliotunga sheria mbalimbali za utumishi wa umma watakuwa wajinga na walikuwa na njia njema kabisa.
Miongoni...
Kweli zama huja na kuondoka. Serikali imeahidi kupeleka kituo cha afya Chato ili kuhakikisha wananchi wanapata huduma safi za afya.
My take:
Uwanja wa ndege haukuwa na faida wakati huduma za...
Kama hoja ilivyo, naomba wajuvi wa jambo hili la sensa wanieleweshe. Nimeona taarifa zikiandikwa kutoka kwa mamlaka za sensa kuwa hadi sasa kaya zilizohesabiwa ni asimia 93. Ili kupata asilimia...
Waongozaji 90 wa Makarani wa Sensa ya Watu na Makazi 2022, Wilaya ya Chemba Mkoani Dodoma wamesusia zoezi la Sensa ya watu na makazi linaloendelea kote Nchini kwa madai ya kutolipwa fedha zao...
Job Ndugai aliyekuwa spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania amesema kuwa hatogombea tena nafasi ya ubunge katika Jimbo la Kongwa Dodoma.
Ndugai ameyasema hayo jana katika Kanisa la...
Rais Samia amesema malalamiko kutoka kwa wananchi kwenda kwa mahakama yamepungua kwa kiasi kikubwa ambako kumetokana na sababu mbalimbali ikiwemo kuwa na majaji wanawake.
Kwa sasa amesema...
Kamisaa wa Sensa Mh. Makinda amesema asilimia 93 ya Kaya zimehesabiwa na haya ni mafanikio makubwa
Makinda amesema wale wote wasiohesabiwa wapige Call Center Dodoma na utaratibu utafanyika ili...
CCM YAPONGEZA JITIHADA ZA
RAIS SAMIA KUIWEZESHA DIT
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema Chama Cha Mapinduzi kimeridhishwa na hatua...
Habari!
Sasa ni wakati muafaka wa kuachana na misaada kutoka nje, maana nao huko kwao hali ya uchumi imekaza.
Misaada inashusha heshima, mtu anayekusaidia hata akiongea upuuzi lazima ucheke ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.