Waziri wa Nishati January Makamba soma na utupatie tafsiri ya interview ya PURA

peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
12,827
21,448
Tanzania kuna vituko , tunaomba uelewa wa matokeo ya mitihani huu na idadi ya waliochaguliwa. PURA wamefanya vituko kupitia Tume ya Ajira, majina kujirudia na watu kulingana maksi.

Tume ya Ajira ifutwe tu.

INTERVIEW NO. Nyingi zimefanana na number moja kuchaguliwa Mara Tatu Tatu
 
Attachments

  • 20220709292312ENGINEER II PRODUCTION.pdf
    159.4 KB · Views: 10
Mnalalamika nini tena wakati tumerudi enzi za kamlete Maarufu Mjombamjomba!!
 
Kuna makosa yamefanyika hapo. Hatua ichukuliwe
Hizi ajira kupitia ajira portal zina matatizo makubwa mnooo.

Ninashauri liundwe baraza la ajira portal litakalofanya kazi kama baraza la mitihani Ili litunge, lisafirishe na kusahihisha mitihani na kutoa matokeo sahihi.

Ajira portal mitihani inavuja mwisho ajira serikalini zitakuwa Za Watoto wa wakubwa, wa dini moja, na vilaza na wa kabila moja.

Kuna hatari inakuja.
 
Ilo baraza litakua na malaika?
 
Back
Top Bottom