Amesema anaomba aoneshwe hata kiwanda kimoja kilichojengwa na serikali ya Magufuli.
Amesema utawala wake ndiyo umesababisha ukame wa ajira kwa vijana mpk kuibuka kwa panyaroad.
Legacy kwisha...
SILIPWI NA UBELGIJI, MIMI SIO MFUNGWA WA KISIASA - LISSU.
Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Antipas Mugway Lissu amesema halipwi na Serikali ya Ubelgiji wala Shirika la Wakimbizi kwa kuwa...
Bodi ya Shirika la Fedha Duniani (IMF) imeridhia Mkopo wa Dola za Marekani Bilioni 1.046 (Takriban Tsh. 2,422,536,000,000) kwa Tanzania katika kipindi cha miezi 40 kusaidia kukabiliana na athari...
Naandika uzi huu kwa masikitiko makubwa.
Mhe. Amos Makala ukiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam na mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Dar es salaam.
Huu Mkoa ni kitovu cha...
Ukweli bora usemwe tu. Kwa hulka za wanaccm za kukosa uzalendo na nia njema za kulitumikia taifa kwa maendeleo ya Taifa sidhani kama wangekuwa wanamheshimu Mwenyekiti wao.
Yaani ni hivi bila ya...
Wabunge wamebariki watuhumiwa watakaokamatwa na kutiwa hatiani kwa kosa la usafirishaji wa binadamu, kufungwa jela maisha ili kuimarisha jitihada za serikali za kupambana na ongezeko la uhalifu wa...
Baada ya katiba mpya kupatikana hiki ni Moja ya chama kitakacho sajiliwa kikiwa na dhamira njema ya kurudisha nguvu ya umma kwenye rasilimali zetu yaani wananchi wapate gawio la Moja KWA Moja la...
Katika taarifa yake kuhusu ajali ya pale Inyala Mkoani Mbeya iliyoua watu kadhaa pamoja na DED wa Igunga, Gazeti la Mwananchi limetoa taarifa kwamba ajali hiyo imetokea ikiwa ni siku tatu zimepita...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limewafukuza kazi askari wake watatu kwa kosa la kwenda kinyume na maadili ya jeshi hilo.
Aidha, limewatahadharisha wengine wenye tabia kama hizo kuziacha.
Hayo...
Huyu ndiye SACP Engelbert Kiondo - Kamishna Mwandamizi Msaidizi wa Polisi
Hebu tumsikilize...
Kwa kweli ni vigumu kuamini kwamba huyu ni afande katika Jeshi la Polisi Tanzania au wenzangu...
Kamatiya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Mbeya kwa kushirikiana na Mamlaka ya Hifadhi za Taifa (TANAPA), wameanzisha oparesheni maalumu ya kuondoa zaidi ya mifugo 200,000 iliyovamia eneo la ardhi...
Mbunge wa Viti Maalum Jaquelin Msongozi (CCM) amependekeza sheria ya Tanzania kuhalalisha bangi itumike kama Tumbaku.
Msongozi ametoa kauli hiyo leo Septemba 14, 2022 bungeni wakati akichangia...
Wapo watakaosema tunamuonea wivu, n.k!
Lakini huo ndio ukweli! Mwigulu Nchemba kupewa Wizara ya Fedha kwake ni kama kumvisha mtoto wa chekechea kiatu namba 45 cha mtu mzima.
Huyu Mwigulu aliwahi...
Mkurugenzi wa Ununuzi na Ugavi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) Bw. Ernest Khisombi Septemba 12, 2022amefikishwa mbele ya Baraza la Maadili kwa tuhuma za kujipatia mkopo...
Akijibu hoja ya Wabunge Bahati Ndingo na Bonnah Kamoli, waliosimama kutaka Shughuli za Bunge ziahirishwe ilikujadili uhalifu wa vikundi hivyo kwa dharula, Spika wa Bunge amesema Kanuni za Bunge...
Aliyekuwa Mgombea Urais wa Azimio la Umoja Raila Odinga alieleza kwamba alisafiri kwenda Zanzibar pamoja na familia yake yote ili kupata nafuu baada ya kushindwa Uchaguzi wa Agosti 9, 2022...
Na Mwandishi Wetu,
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana amewahamasisha viongozi wa Chama hicho kwa ngazi mbalimbali kujenga utamaduni wa kuwatembelea...
Nawasalimu kwa jina la JMT, bila shaka mnaendelea kuchapa Kazi..
Kama inavyosomeka kwenye kichwa cha habari, Bandari ya Mombasa imetoa Ofa kabambe na kedekede Kwa Mizigo ya Congo DRC kupitia...
Katika mgawanyo wa majukumu; Bashe kazi yake ni kuhakikisha uwepo wa pembejeo za kilimo na kuboresha mazingira ya kilimo kwa wakulima.
Waziri wa kilimo aslaumiwe kwa ongezeko la bei.
Alaumiwe...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, akimwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan, leo Alhamisi tarehe 15 Septemba, amejumuika na viongozi mbalimbali wa Afrika...