Hashimu Rungwe: Magufuli alikuwa anaimba viwanda lakini hakujenga hata kimoja

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,407
Amesema anaomba aoneshwe hata kiwanda kimoja kilichojengwa na serikali ya Magufuli.

Amesema utawala wake ndiyo umesababisha ukame wa ajira kwa vijana mpk kuibuka kwa panyaroad.

Legacy kwisha! Kwisha kabisaaaa!

Chanzo: Hashimu Rungwe anahojiwa startv muda huu.
IMG_20220514_214719_153.jpg

Screenshot_20220513-224334.png
 
Amesema anaomba aoneshwe hata kiwanda kimoja kilichojengwa na serikali ya Magufuli.

Amesema utawala wake ndiyo umesababisha ukame wa ajira kwa vijana mpk kuibuka kwa panyaroad.

Legacy kwisha! Kwisha kabisaaaa!

Chanzo: Hashimu Rungwe anahojiwa startv muda huu.
Kweli kabisa, alisimamisha ajira kwa miaka sita, lakini rekodi zinaonyesha alikuwa anajaza watu wa Chato katika usalama(bila shaka mama atawaondoa) na nafasi nyeti serikali.
 
Nawasikitikia Sana wajukuu zake maana kumuita Babu mtu kama huyu ni aibu, ninachojua mpaka mtu astahili kuitwa Babu anatakiwa kuonesha kiwango cha hekima na busara kisichotiliwa shaka.

Mzee Rungwe leo kadhalilisha wazee wenye rika Kama lake bora angekaa kimya tusingejua uzee wake

Babu Magu au Babu Rungwe??!!
 
Nawasikitikia Sana wajukuu zake maana kumuita Babu mtu kama huyu ni aibu, ninachojua mpaka mtu astahili kuitwa Babu anatakiwa kuonesha kiwango cha hekima na busara kisichotiliwa shaka.

Mzee Rungwe leo kadhalilisha wazee wenye rika Kama lake bora angekaa kimya tusingejua uzee wake
Kwenye hii comment sijaona mahali umeonesha kiwanda alichojenga Magufuli. Wakati ule tuliambiwa vimejengwa viwanda 3000, viko wapi?
 
Dah...Kwa Umri Wake Yule Mzee hakika ilikuwa ndo awe Mfano wa Wapinzani Makini, Lkn Kila nikimwangalia Sioni Uwakilishi Wa Upinzani makini...!

Nadhani hata Yeye Mwenyewe Kajiweka Kundi La Upinzani Wa jokes ndo Mana Kwenye Kampeni zake Alikuwa anatembea na MAHOTIPOTI Ya Ubwabwa.

Yawezekana Hakuna Kiwanda Kilichokamilika...Lkn ni Kweli Vyote vilivyokuwepo kwenye Ilani ya chama Hakuna kilichokamilika...!
Ipo haja Kuomba Mungu wakati Unazeeka Uzeeke Vizuri.
 
Nawasikitikia Sana wajukuu zake maana kumuita Babu mtu kama huyu ni aibu, ninachojua mpaka mtu astahili kuitwa Babu anatakiwa kuonesha kiwango cha hekima na busara kisichotiliwa shaka.

Mzee Rungwe leo kadhalilisha wazee wenye rika Kama lake bora angekaa kimya tusingejua uzee wake
Mtu anaomba kura kupitia ubwabwa uadhani anayo akili huyo.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom