Nawasalimu katika jina la Jamhuri ya Tz
Twende kwenye mada
1. Julius Nyerere
Licha ya kupambwa sana na mesia na history yetu ila deep down ukifuatilia utawala wa Nyerere ulikuwa wa kidekteta tu...
Soft diplomacy kupitia filamu fupi ya Vuta nN'kuvute imewekwa katika orodha ya filamu 20 kutoka kote duniani ambazo mojawapo itaibuka mshindi katika tamasha la filamu tajwa duniani la Oscar Award...
Bingwa wa mbio za Marathon za Olimpiki mara mbili Eliud Kipchoge ameshinda mbio za Berlin Marathon kwa kuweka rekodi mpya. Kipchoge alishinda mbio hizo kwa kukimbia saa 2:01:09 katika mbio za...
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), Mhandisi Victor Seff amesema ujenzi wa barabara na madaraja kwa kutumia teknolojia ya mawe na matofali ya kuchoma unaokoa...
Mchungaji Erasto anasema ukiona mwafrika anatetea Jambo linalopingwa na wengi basi Ujuwe Jambo hilo lazima linamnufaisha yeye binafsi kwa namna moja au nyingine!
Nilikuwa napitia archives ya YouTube, nikakutana na hii hotuba yenye maneno makali kwelikweli ya Tundu Lissu dhidi ya watawala.....
Ilikuwa ni Septemba, 2017 alipopata nafasi ya kuchangia azimio...
Umuofia kwenu.
Bunge la Tanzania limesheni watu wa sampuli zote. Wenye vyeti aina zote uvijuavyo duniani. Ndiyo ni bunge lenye full package.
Hili ndiyo bunge ambalo ukichukua ramani ya mipango...
Naibu Spika, Mussa Hazzan Zungu amewataka Watanzania waungane na Serikali kwa kulipa kodi na kuacha tabia ya kutoomba risiti wanaponunua mahitaji.
Zungu alisema hayo juzi ofisini kwake bungeni...
Ndugu zangu huo ndio ukweli ulio wazi, Mtu kuwa kiongozi hakubadilishi Tabia yake ya Asili, Kama mtu alizaliwa Ni katili Basi fahamu ya kuwa akipata madaraka atakuwa katili zaidi ya awali kwa kuwa...
Salaam
Kitendo cha Kumnywesha juisi Mwanaume kwa glasi anayotumia na yeye akatumia hapo hapo mwanaume alipotoa Mdomo, imetufedhehesha sana Sisi Waisilam na Jamii ya Afrika Mashariki
Haya...
Hakuna CCM tena, Mbatia hajaondolewa na NCCR, kuna sababu kwa nini akina Mbowe &Co. wapo pro Utawala uliopo, they have no choice, na yoyote atalayejaribu ku challenge status quo ataenda na maji...
Rais Samia amehawakikishia watanzania kuwa miradi yote aliyoacha Hayati Rais Magufuli lazima itekelezwe na kumalizwa kwa sababu ni urithi wa watanzania na tukiitelekeza tutaambulia laana kutoka...
Nimekutana na video ya Freeman Mbowe mitandaoni akitangaza msiba wa kaka yake Charles Mbowe kuwa amefariki kwa ugonjwa wa Corona!
Swali Mbowe amekuwa nani wa kutangaza magonjwa ya Corona?
Agizo...
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza, bwana Anthony Diallo amewaomba radhi watanzania kwa kauli zake alizozitoa kuwa viongozi wa Serikali waliopita walikuwa na mafaili mirembe.
========
Diallo...
Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro amesema kwenye kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 alimpigia simu Lissu ili aje kituo cha polisi amhoji na atoe maelezo ya nini kilitokea...
How Late President John Magufuli Made Tanzania A Middle Income Country.[emoji1241] He rejected a $10 billion loan from China
He didn't go on state trips outside of the African Continent
He...
Gazeti la Mwananchi toleo la leo limekuja na habari kuwa serikali ya Rais Samia imeanza kupitia upya na kuhakiki mkataba wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo uliotiliwa shaka na hayati Magufuli kuwa...
Hivi ulishawahi kukaa na kujiuliza taifa la Tanzania lingeelekea wapi bila ujio wa hayati Magufuli kama rais?
Hivi ulishawahi kujiuliza kama Magufuli angefariki kwenye mwaka wake wa kwanza wa...
Moshi. Muda mfupi baada ya hakimu mkazi mfawidhi wa mahakama ya hakimu mkazi Moshi, Salome Mshasha kuahirisha kesi inayomkabili aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na ndugu zake...
Mh rais Samia,sisi wana ccm tunakuomba kama ulivyoguswa na maombi ya watu mbalimbali ya kutaka umwachie mwenyekiti wa Chadema Mbowe anayetuhumiwa kwa tuhuma nzito za ugaidi na kupanga njama za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.