Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Godfrey Kasekenya amesema TANROADS imetangaza zabuni ya ujenzi wa barabara ya njia 4 kutoka Kibaha hadi Morogoro ambayo itajengwa kwa utaratibu wa Engineering...
Serikali imetangaza kuanza rasmi ujenzi wa hoteli ya nyota 3 katika mbuga ya wanyama ya Burigi -chato mkoani Geita ili kuvutia na kuwafanya watalii wanaofika kwenye mbuga hiyo kuwa na mazingira...
Raisi Samia ameunda Team ya kujadili na kupendekeza mabadiliko ya mfumo wa jeshi la Polisi. Ni vizuri team hii ikasikiliza wananchi hasa kwenye mambo makubwa haya
1. Polisi kuingilia chaguzi...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) leo tarehe 25/09/2022 mbele ya Kamati ya Kitaifa ya Uboreshaji wa Mitaala inayoongozwa na Profesa Makenya Maboko jijini Dodoma, imependekeza kuingizwa kwa elimu ya...
Muswada wa sheria ya bima ya afya kwa wote umesomwa bungeni kwa mara ya kwanza mwezi Septemba, 2022.
Kwa mujibu wa kifungu cha 32, muswada huo umeweka zuio la upatikaji wa baadhi ya huduma muhimu...
Chama chetu kiliona dhamira ya Rais Samia Suluhu ya kuboresha mazingira ya Siasa nchini na kuamua kumwunga mkono; na hii ni kufuatia hotuba yake aliyoitoa siku ya kula Kiapo cha Urais, hotuba zake...
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Mkutano ulioandaliwa na James Mbatia , kiongozi aliyedaiwa kutimuliwa NCCR MAGEUZI , Umezuiwa.
Mbatia alipanga kukutana na Waandishi katika Hotel ya Regency Park...
Rais wa Tanzania anapata wapi uhalali wa kujifanya kwamba yeye ni indispensable (unsubstitutable)? Kwamba Tanzania bila yeye haiwezi kitu chochote?
Kwa mara nyingine tena, nimeona Chifu Hangaya...
MBUNGE wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Joelson Mpina amechukua na kurejesha fomu ya kuomba ridhaa ya Chama cha Mapinduzi kuwania nafasi ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kupitia kundi la...
. Mgogoro wa NCCR Mageuzi umeibuka kwa sura tofauti baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, James Mbatia kuzuiwa kufanya mkutano wake na waandishi wa habari.
Jana Jumamosi, mkutano mkuu wa...
Nimeona Chifu Hangaya (akiwa Glasgow, Scotland) amefanya uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa NDC. Huu ni ukiukaji wa Katiba yetu.
Kwa mujibu wa Ibara ya 47(1)(c) ya Katiba yetu, Makamu wa Rais atafanya...
Amesikika Zungu akiongelea masuala ya Internet:
Zungu hana ufahamu wowote wa kuhusu Internet zaidi ya kuwa yeye ni mtumiaji kama mtu mwingine tu.
Cha kushangaza ni kuwa ameachwa kuendelea na...
Nimeona maonj ya zitto bado yana maumivu ndanj yake kwa kushindwa mgombea wao wa ACT kwenye bunge la afrika mashariki.
Zitto anasema wataendelea na maridhiano ila hawatasahau kilichotokea Dodoma...
Nimejawa na furaha kuona mtu makini ndani ya Jeshi la Polisi mwenye uzoefu na weledi anakabidhiwa majukumu makubwa ya kuliongoza Jeshi letu la Polisi. Hakika CAMILIUS WAMBURA ni mtu sahihi mno...
Mh Tulia Ackson ametoa ushauri huo ndani ya bunge analoliongoza , kwa hoja kwamba Taarifa za vifo zinazotangazwa kila kukicha na Jeshi la Polisi hazisaidii kupunguza mauaji , na badala yake...
Mgogoro wa NCCR Mageuzi umeibuka kwa sura tofauti baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, James Mbatia kuzuiwa kufanya mkutano wake na Waandishi wa Habari.
Katika hali ya kutaka kujibu...
Tangu aingie AGP mpya kikubwa alicho weza kufanya ni kuhamisha hawa ma RPC yaani haipotia wiki 2 utasikia huyu kahamishiwa huku na yule kahamishiwa kule.
Ila mfumo ni ule ule, ufanyaji wao kazi...
Ndugu wanajamii naungana na Paul Mayalla ktk makala zake za Kwa Maslahi ya taifa.
Tukiwa ktk wikendi hii ni vema tukatafakari jambo hili. Kumbe cheo ni dhamana. Siasa ni swala la kitaifa sio la...
Haya mahubiri ya leo ama yamenitisha au yamenitoa usingizini
" Itamfaa nini Mtu kuupata Ulimwengu Wote na yeye mwenyewe aje apate hasara ya Nafsi yake?"
Kwamba safari ya motoni utakwenda peke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.