DPP Kweka yupo pale kimkakati kwa ajili ya kumtesa Sabaya

Kijogoodi

JF-Expert Member
Mar 29, 2021
1,363
2,372
Moshi. Muda mfupi baada ya hakimu mkazi mfawidhi wa mahakama ya hakimu mkazi Moshi, Salome Mshasha kuahirisha kesi inayomkabili aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na ndugu zake waliokuwepo mahakamani wameangua vilio mahakamani.

Kesi hiyo namba 2 ya mwaka 2022 imeahirishwa hadi Septemba 26 mwaka huu kwa kutokamilika kwa upelelezi.

Hata hivyo, Sabaya amefikishwa mahakamani hapo leo Septemba 12 akiwa peke yake baada ya wenzake wanne kuachiliwa huru Septemba 6 mwaka huu baada ya kukiri makosa ya uhujumu uchumi na kulipa faini.

Wenzake hao ni pamoja na Sylivester Nyegu, John Aweyo, Nathan Msuya na Antero Assey.
Baada ya kukiri makosa hayo, ambayo ni pamoja na kujitwalia madaraka isivyo halali na kwenda kufanya upekuzi nyumbani kwa Alex Swai na kula njama na kumnyima na kukandamiza haki yak, mahakama iliwatia hatiani na kutoa amri ya kulipa kila mmoja faini ya Sh50,000 na fidia ya Sh1miloni kwa mwathiriwa.

Awali wakili wa upande wa mashitaka, Sabitina Mcharo, meiieleza mahakama hiyo kuwa upelelezi wa kesi hiyo bado haujakamilika na kumwomba hakimu anayesimamia kesi hiyo kupanga tarehe nyingine jambo ambalo liliwaibua mawakili wa upande wa utetezi.

"Mheshimiwa hakimu shauri hili limekuja kwa ajili ya kutajwa, upelelezi bado haujakamilika hivyo tunaomba uipangie kesi hii tarehe nyingine," aliomba wakili huyo.

Hata hivyo, wakili wa upande wa utetezi, Hellen Mahuna alisema bado wana malalamiko kuhusu kuchelewa kwa upelelezi wa kesi hiyo na kwamba mteja wao Sabaya anaendelea kuteseka.

"Nakumbuka tarehe ya mwisho kuja hapa Agosti 29, 2022, mahakama hii iliagiza upande wa mashitaka waje leo na kutoa mwafaka wamefikia wapi, lakini tumeelezwa kirahisi rahisi tuu kwamba upelelezi bado haujakamlika.

"Tunaiomba hii mahakama imtoe huyu mshitakiwa namba moja maana hatuna hati ya mashitaka ambayo ni ‘proper’ kwa sababu alichofanya DPP ni kwamba hafuati maelekezo na mshitakiwa anendelea kuteseka, tunaomba DPP afuate sheria," amesema.

Naye hakimu Mshasha amesema kupokea maelezo ya pande zote mbili na kuuagiza upande wa mashitaka kukamilisha upelelezi wa kesi hiyo ili mshtakiwa ambaye ni Sabaya apate haki yake na kamba mahakama ni chombo ambacho kinatoa
 
USISAHAU HATA SABAYA ALIKUWA MKUU WA WILAYA KIMKAKATI KUTESA WATU
 
Ushamaliza zamu ya kulinda kaburi?
 
Aliyesema sabaya ashitakiwe anahaha asijue ataipangua vipi hiyo ishu. Alifanya ile kumfurahisha mbowe. Ila nadhani muda utasema.
 
Sikuwa nimedhania kuwa nawe waweza kuwa mjinga kwa kiwango hiki ulichoonyesha. Kama bado una mume akikuacha sasa hakuna.atakayeshangaa, maana kufuga mke mpuuzi ni gharama kuliko kutunza mbuzi wa supu.
Ina maana Samia aliye amuru Sabaya achunguzwe na kama kuna makosa ashtakiwe alifanya hayo kumfurahisha Mbowe?
Jiepushe na kuonwa mjinga!
 
Back
Top Bottom