Mungu alimtumia Hayati Magufuli kulivusha taifa la Tanzania

Kijogoodi

JF-Expert Member
Mar 29, 2021
1,363
2,372
Hivi ulishawahi kukaa na kujiuliza taifa la Tanzania lingeelekea wapi bila ujio wa hayati Magufuli kama rais?

Hivi ulishawahi kujiuliza kama Magufuli angefariki kwenye mwaka wake wa kwanza wa urais kingetokea nini?

Kama leo baada ya hayati Magufuli kukaa madarakani kwa miaka 6 kuna watu wanakuja kuponda miradi ya ndege, SGR, Bwawa la mwl Nyerere je vipi kama angeisaini tu na kufariki dunia hao wapondaji wangesema nini?
Kama kweli hiyo miradi haina faida kama wapondaji wanavyosema mbona sasa tunaendelea kuijenga?

Vipi kama Magufuli angefariki kabla ya uchaguzi mkuu wa 2020 si Chadema wangezusha kwamba Magufuli amekimbia kipigo cha Tundu Lisu kwenye sanduku la kura?

Leo Corona imepuuzwa duniani kote na sasa wananchi wote wanafuata falsafa za hayati Magufuli lakini bado kuna baadhi ya CHADEMA wanashupaza shingo na kupuuza misimamo ya Magufuli, je ulishawahi kujiuliza ingekuwaje kama Corona ingeingia Tanzania tukiwa hatuna Magufuli?

Unajua bila Magufuli Tanzania ingetumia miaka mingapi kuingia kwenye nchi zenye uchumi wa kati?

Hali ya makao makuu ya nchi yetu Dodoma ingekuwaje?

Wanafunzi wa UDSM wangeendelea kupanga mitaani kwa sababu hosteli za Magufuli zisingekuwepo?

Foleni ya ubungo mataa ingekuwaje maana tusingekuwa na flyover?

Mungu alimtuma Magufuli kutuvusha kisha akamchukua na kwenda zake
 
Hivi ulishawahi kukaa na kujiuliza taifa la Tanzania lingelekea wapi bila ujio wa hayati Magufuli kama rais?

Hivi ulishawahi kujiuliza kama Magufuli angefariki kwenye mwaka wake wa kwanza wa urais kingetokea nini...
Kulivusha kutoka wapi kwenda wapi? Mbona mimi naona Miaka 6 tulirudi nyuma kwenye uchumi, mahusiano ya kimataifa na mshukuru wa Kitaifa? Hisia za chuki na ukanda/ ukabila ziliibuka kwa Kasi?

Bora alivyomchukua akaongoze malaika maana tungekuwa kama Zimbabwe .
 
Ni heshima kuu kutambua hisia za kila mmoja bila kujali itikadi na imani za wahusima.

Adolf Hitler pamoja na kuwa kiongozi anaejulikana kuwa mbaya kupita wote kwa muda wote wapo watu wanamuona alikuwa kiongozi bora na wana hoja nzuri sana.

Basi nami niseme tu tuheshimu hisia zako kali juu ya Hayati Magufuli.
 
Hivi ulishawahi kukaa na kujiuliza taifa la Tanzania lingelekea wapi bila ujio wa hayati Magufuli kama rais?

Mungu alimtuma Magufuli kutuvusha kisha akamchukua na kwenda zake
Naunga mkono hoja
Kiukweli JPM alikuwa ni mpango wa Mungu kwa Tanzania. Na hili nimelisema sana humu.
P
 
Asante
 
Tangu lini muuaji,mwizi na muongo akatoka kwa Mungu!?

Labda ametoka kwa mungu na sio Mungu maana miungu ipo.

Black is black and white is white
 
Hivi ulishawahi kukaa na kujiuliza taifa la Tanzania lingelekea wapi bila ujio wa hayati Magufuli kama rais?

Hivi ulishawahi kujiuliza kama Magufuli angefariki kwenye mwaka wake wa kwanza wa urais kingetokea nini?

Kama leo baada ya hayati Magufuli kukaa madarakani kwa miaka 6 kuna watu wanakuja kuponda miradi ya ndege, SGR, Bwawa la mwl Nyerere je vipi kama angeisaini tu na kufariki dunia hao wapondaji wangesema nini?

Vipi kama Magufuli angefariki kabla ya uchaguzi mkuu wa 2020 si Chadema wangezusha kwamba Magufuli amekimbia kipigo cha Tundu Lisu kwenye sanduku la kura?

Leo Corona imepuuzwa duniani kote na sasa wananchi wote wanafuata falsafa za hayati Magufuli lakini bado kuna baadhi ya CHADEMA wanashupaza shingo na kupuuza misimamo ya Magufuli, je ulishawahi kujiuliza ingekuwaje kama Corona ingeingia Tanzania tukiwa hatuna Magufuli?

Mungu alimtuma Magufuli kutuvusha kisha akamchukua na kwenda zake
Aaaaahhhhhhhhhhhh wapi bhana!
 
Peleka ujinga mbali.
 
Alilivusha wapi?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Chawa tafuta kazi
 
Wapumbavu hamchoki kuandika upumbavu wenu, Magufuli ndo chanzo cha madhira yanayoendelea Tanzania, yaani hadi Samia ana Roho mbaya na ni Dikteta kwa sababu ya ku copy kwa Magufuli.
Maisha ni magumu,hakuna ajira, Pesa haina Thamani na kuna mfumuko mkubwa mno wa Bei.
Sasa alilivusha Taifa wapi?
Hebu tutolee ushamba wako hapa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom