Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Mh James Mbatia amefika Mkoani Mbeya kwa ziara ya kichama na Kupokelewa na RC wa Mkoa huo huku akiahidiwa ulinzi.
Katika ziara yake hiyo ya kichama atafika Busokelo...
Nimependa hii njia inayotumiwa na Kwasi Kwarteng wa Uingereza kwa kupunguza PAYE na VAT na kufuta matozo mengineyo Ili ku Stimulate Demand..
Ni Bora kukopa pesa za kufidia kwenye Bajeti Ili...
Kwamba CCM hawajui umuhimu wa tume huru? Nani kasema?
Mgombea CCM ataka tume huru kuhesabu kura
Kafunguka mgombea kwenye chama hicho kikongwe bila tume huru, hamwamini mtu chamani humo...
Kama Taifa tumeshindwa kabisa kuwahodhi nguvukazi ya vijana WETU Hadi WAMEKUWA panyaroad wakikimbizana na polisi!huku ni kufeli kwa sera zetu za ajira japo tuna wabobezi katika uchumi pia ni...
Kama mnavyojua kulifanyika uchaguzi wa wabunge la Africa Mashariki na ACT kuwa na mgombea wao ambaye alikuwa Addo Shaibu
Cha kushangaza ni kuwa wabunge wa CCM walimtosa Addo, ambaye ni Katibu Mkuu...
Muswada wa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote umewasilishwa bungeni ambapo mwajiri wa sekta ya umma na binafsi rasmi atapaswa kumsajili mwajiriwa katika skimu ya bima ya afya ndani ya siku 30 tangu...
Naelewa hisia za baadhi ya watu Tanzania na Afrika ambao wana hoji kuhusu Viongozi wakuu wa nchi na Marais kutumia usafiri wa Bus kuelekea Westminster Abbey kwenye mazishi (State Funeral ) ,wengi...
Bila bima maalumu kwa wazee 65+ mfumo mzima wa bila ya taifa ya Afya hauwezi kufanikiwa.
Wazee hawa wana matatizo makubwa ya kiafya na ni lazima waangaliwe tofauti sana na vijana. Kuwe na clinic...
Jeshi la Polisi, Mkoa wa Mara limemkamata Katibu wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha), Catherine Ruge.
Ruge amekamatwa leo Jumamosi, Septemba 24, 2022, muda mfupi...
Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC) nchini Tanzania, Anthony Lusekelo ‘Mzee wa Upako’ ameonyesha sura mbili katika sakata la tozo za miamala ya kielektroniki.
Amesema Serikali ya awamu ya sita...
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu, leo Septemba 23, 2022 ameweka wazi kuwa, kila mwaka takriban watoto 800 hugundulika kuwa na ugonjwa wa Saratani nchini Tanzania hivyo kuchangia ongezeko la vifo...
Kumbe Ruto pamoja na kujishasha kwake na hatma ya majaji wale 6 mbele ya wageni wasiohusika, kingali kimeumana?
Kwa hakika ndiyo maana watawala wetu wakisikia katiba mpya:
"Huwa hawaishiwi ndoto...
Ukweli ni kwamba Tanzania tuna Wapinzani wasio jua nini wanataka, upinzani ambao kazi yao ni kudandia matukio tu leo wako kwenye TRAT na TRAB, kesho utasikia kwanini Rais ameenda Msumbiji etc ..ni...
Binafsi sikushangaa Spika alivyomtaka Waziri atolee ufafanuzi kuhusu TRAT na TRAB ndani ya sekunde Moja, (Aelezee kitabu chenye kurasa 500 ndani ya sekunde moja)
Kwanini sikushangaa? Sababu ni...
Jamani Naomba kuuliza,,
Kuna mtu Aliniambia anaunganisha bundles za Mtandao fulani,,Nikamtumia pesa ili aniunge badala yake akakimbia mazima,,Namba yake naiona iko active WhatsApp na hata kawaida...
Habari JF,
Nimeona niwakumbushe Watanzania wenzangu maana asilimia kubwa tumezoea kushabikia vitu visivyo vya msingi. Triloni 360 ni pesa nyingi sana zinaweza kututoa tulipo kuwa donor country...
Wanajamvi, nadhani suala hili, halikuzungumziwa vya kutosha hata kidogo. Lissu yeye alishaumizwa na wengine walitishika kabisa kulizungumzia!
Hata hivyo, bado limezungumziwa sana na makada wa CCM...
Lazaro Nyalandu aliwahi kulalamika wakati wa uchaguzi wa ndani pale CHADEMA kumpata mgombea wa Urais wa JMT kwamba kura zake ziliibwa akapewa Tundu Lissu.
Jana nimemsoma Zitto Kabwe akidai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.