Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 18,200
- 27,255
Nimeona maonj ya zitto bado yana maumivu ndanj yake kwa kushindwa mgombea wao wa ACT kwenye bunge la afrika mashariki.
Zitto anasema wataendelea na maridhiano ila hawatasahau kilichotokea Dodoma. Hii maana yake ameumizwa na kushindwa kwa Ado Shaibu.
Zitto anapaswa kujua na kukiri pia mgombea wao alikuwa dhaifu. Maridhiano tafsiri yake sio kuwa upigiwe kura kwa mgombea unayemtaka wewe.
Maridhiano maana yake demokrasia kwenye kuchagua itumike. Na kura zimepigwa ,mgombea wako kashindwa, Sasa hapo maridhiano yanaingiaje? Hakuna sehemu raisi mama Samia alisema maridhiano ni nyie mshinde.
Ado Shaibu Alikua mgombea dhaifu sana, hawezi kabisa kujieleza, hawezi kujibu maswali kila anachoulizwa hasikii mpaka irudiwe na hata iliporudiwa bado hakuelewa mpaka spika alipotoa ufafanuzi. Pamoja na spika kutoa ufafanuzi bado Ado hakuelewa. Kwa nn msikubali huyu mliyempeleka HAFAI?