Na. Eva Valerian, WFM- Dodoma
WAZIRI wa Fedha na Mipango, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), ameliomba Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani – USAID, kuelekeza kiasi cha msaada...
Hivi ndivyo polisi Tanzania wanavyouwa watu wakiwamo watuhumiwa wa u panya road.
Ama kwa hakika wao na mashabiki wao, Mwalimu ana maneno sahihi zaidi kwao:
Zamani ilikuwa ukifika ofisi za TRA au TANESCO basi ni lazima ukutanane na watu wanaoitwa vishoka, nina uhakika kwa sasa watu hao wamesambaa kwenye ofisi nyingi tu.
Binafsi sijawahi kufanya kazi...
Kiongozi mjasiri huangalia Macho kwa Macho.
Hata awapo na adui aliyemzidi kwa ufahamu na zana za kivita huwa hapindishi macho na maneno.
Katika Picha ni Anthony ISHIKA akiongea na Mkutugenzi wa...
Nani anapenda kumzika ndugu yake ambaye amepoteza uhai kabla Mungu hajamuita. Mbaya zaidi wanaokuwa wamemuua hawachuliwa hatua kisheria.
Kila siku kukicha tunasikia vyombo habari watuhumiwa...
Spika Mstaafu wa Bunge la 11, Job Ndugai amejikuta katika aibu kubwa baada ya wanachama wa CCM Wilaya Kongwa katika JUMUIA YA WAZAZI NA UVCCM kuameamua kujiondoa katika mfumo wa ubabe...
Ndugu zangu huo ndio utafiti unavyoonyesha kuwa kila CCM inapokuwa na vikao vyake vya ndani ngazi ya Taifa hufuatiliwa kwa karibu Sana na Mamilioni ya Watanzania, huku waandishi wa habari...
Uchumi wa Tanzania Bara umekua kwa 5.4% ikilinganishwa na makadirio ya 4.7% katika robo ya kwanza ya mwaka huu huku Zanzibar ukikua kwa 5.1% ikilinganishwa na makadirio ya 5.4%. Wachumi waipongeza...
Kwa mfano Dr Shein ndiye Makamu mwenyekiti wa CCM upande wa Zanzibar hadi sasa
Dr Mwinyi ambaye ni Rais wa Zanzibar atapokea kijiti wakati wa Uchaguzi mkuu wa chama
Mungu wa mbinguni ibariki CCM
Kudos kwa Mwana jukwaa..
NBS wametoa ripoti ya Hali ya Pato la Kila Mtanzania kwa Mikoa ya Tanzania kwa kuzingatia GDP per Capita Income ya Kila Mkoa kwa mwaka 2021..
Kwa mujibu wa Ripoti ya...
Aliyekuwa Spika wa Bunge, Job Ndugai anajipanga kumuachia jimbo la Kongwa mkewe Bi. Fatma Mganga ambaye ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma.
Ndugai ameanza kampeni na figisu hizi kwa kupanga safu...
Hatua ya serikali kutoza tozo kama njia ya kuongeza mapato yake ili kutoa huduma kwa wananchi ambao wanadai hiki na kile, imepokelewa kwa kiasi kikubwa kwa kukataliwa ikiwemo na wabubge wenyewe...
Mheshimiwa Rais, nimefurahishwa vilivyo na jinsi ulivyoanza uongozi wako wa awamu ya nne kwa ziara za kushtukiza unazozifanya sehemu mbalimbali ambazo unahisi kuna matatizo yanayowaelemea...
Kwa mujibu wa Jeshi la Polisi watuhumiwa hao ni Innocent Adam Chengula na Tarzan Alfan Mwambengo wanaodaiwa kutumia picha na jumbe za simu zinazomuhusisha Katibu Mkuu wa Wizara ya Michezo kwa...
Hii ndio taarifa mpya kwa sasa kwamba kinachoitwa Mkutano Mkuu wa dharura wa NCCR MAGEUZI, ulioongozwa na Joseph Selasini umemvua uanachama na kumfukuza James Mbatia na Makamu wake .
Hayakutolewa...
Waziri wa Fedha Dr Mwigullu ameagiza maafisa maduhuli kuanza kubana Matumizi kwenye Chai Vitafunwa Safari ndani na nje ya nchi na Semina.
Kadhalika viongozi wanapokuwa kwenye safari yenye lengo...
Hiki ni kibwagizo kidogo tokea Tarime.
Ni majuzi tumeona kipigo cha mbwa koko kwa mtuhumiwa aliyekuwa kwenye pingu. Haifahamiki kama polisi wahalifu wale kuna angalau walio bado korokoroni...
Mwaka 2014 Sheria ya iliyokuwa SSRA ilianza kutumika kulipa mafao na ikasaidia sana kupandisha mafao ya Mfuko wa NSSF na iliyokuwa PPF ambayo ilikuwa inawanyonya kisheenziii wastaafu kabla ya 2014...
JUZI Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA,) ilivitaka vyombo vya Habari vya kielektronic hususan redio Tv na mitandao ya kijamii kutoutumia wimbo wa msanii wa Kizazi Kipya Emanuel Elibariki(Ney...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.