Mbatia Hakubaliki kila kona, jitihada za kujitetea zimegonga mwamba

Wazo Kuu

Senior Member
Oct 21, 2018
114
293
Mgogoro wa NCCR Mageuzi umeibuka kwa sura tofauti baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, James Mbatia kuzuiwa kufanya mkutano wake na Waandishi wa Habari.

Katika hali ya kutaka kujibu uamuzi wa jana wa chama hicho, Mbatia aliitisha mkutano na Waandishi wa Habari katika Hoteli ya Regency Park, Mikocheni kabla ya kuzuiwa kufanya hivyo.

Alipofika hotelini hapo saa 7:07 mchana, mmoja wa maofisa wa hoteli hiyo alimwambia uongozi wa Hoteli hiyo umetoa maelekezo kuwa haruhusiwi kufanya tena mkutano huo hotelini hapo.
Screenshot 2022-09-25 at 14.50.05.png
 
Hizi takataka zako kaposti Kwa Ccm wenzako, katiba hii mbovu tuliyonayo haizuii haki za msingi za kila RAIA.

Ukiwa Kwa upanga nawe utakufa Kwa upanga, mwisho wenu Ccm upo karibu Tena mbaya sana.
 
Duh..! Hadi kufanya press mtu anazuiwa?😂😂
Umagufuli upo na bado utakuwepo sana Tanzania
 
Back
Top Bottom